Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Oyaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽
81,708 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Oyaaa nimecheka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽 Yani mwana anakusave mpaka we mwenyewe unashindwa kuelewa kaku-save aje😂😂😂😂😂😂 Tx-Dullah atengwe 😂😂😂😂🙌🏽 Video kwa Comments👇🏾👇🏾

Oyaaaa kmmmkeee leo Kuna shemeji yangu kanifanyiaa hu usenge me kumtetea mwana kumbe yupo nae asehe daah 😂😂😂🙌🏿 ningeiona hi kabla 😂🙌🏿

Hawa mbwa wanajua sana kuchekesha

Shemeji yangu mmoja aliwahi kunipigia simu akimuulizia mshkaji(mume wake hajarudi home) Jumamosi asubuhi hiyo (Ulikuwa nae?). Nikamwambia nitampigia niko Jumuiya. Nilihangaika kumtafuta msela mpaka kumpata na kumrudia shemeji. Hahahahaa wanawake lazima waelewe sisi tukoje

Code ni kwamba usimuue mwamba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 oya @Wilbright_jr siku ukiyatimba kwa shem akipiga nakukataa mazima🤣🤣🤣

Eti mmh we dulla umenitoa wapi wewe?

😂😂😂 eti Dullah umenitoa wapi

🤣🤣🤣

😂😂

🤣😂🤣 ilishanikutaga hiyo tunaita BROTHERHOOD

Kwer uchawi upo
