Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Pale Kakamega daycare 🥲😂
54 Kommentare

Jamaa anakula kama mzee bana.

Na ujue hizo ni snacks tu 😂

pale kakamega daycare sounds like a wild zoo

😂😂😂😂

Eeh manzee! Ugali iko MOTOO sana😳‼️😭😭

😂😂😂

Naishaa 😂🤣

Appetizers nini ninii 😂

😂😂 hapana petition kutetea huyo mtoi 🤚

Ngumu sana 😂😂😂

wueh hii nayo ni kali 😂😂

Snacks nini ninii 😂

Hii yote ni ya mtoto

Snacks nini ninii 😂

😂😂 hii Nikama njugu kwao

Appetizers nini ninii 😂😂

Hii ni daycare ya Bungoma

Na huyu ni Omwami 😂

Huku mambo ya Cerelac TAWE!😂🤣

Ngumu sana 😂

You decided to kill me with laughter now 😂. Why de go do this now 😂.

Vida zangu za 2001 mna toa wapi

Omwami tulia 😂

😂katoto kaluya kagonjwa

Ety kagonjwa 😂😂😂😂

Accuracy>>>

Fully fully 😂

Hii ni snack😂

Appetizers 😂😂😂

@ignyharaz2

Na ujue kametoka hosi hakana appetite vizuri 😂

😂😂💔

Zieet 😂

Seriously

Nyi ndo mnafanya nywele kamasi watuite ugali muncher🥲🥲🥲

😂😂

Omwami anajenga mwili

Foundation nini ninii 😂

Na hiyo ni starter, bado main course na dessert, na maziwa ya kufunga chapter.

@Adele_lide 🤣🤣🤣🤣🤣

Omwami

Noma sana aisee 😂

Hata usiseme

Iyo atashiba kweli 😂😂

Mtoi hachekeshi ngise jooh

Ni mbaya😂

😂😂 anaku easy

Itasumbua sana 😂

😂😂

😂😂😂

Zieet 😂

Tuma contact kijana anafaaa kuingia daycare

Why is it disturbing in so many ways?

Waaah 😂😂😂💔
