正在加载视频...

视频加载失败

Part 3: Babalevo akibishana na Afisa TRA

20,913 次观看 • 6 天前 •via X (Twitter)

31 条评论

Life Of Easy 的头像
Life Of Easy6 天前

Huyu afisa wa TRA ana busara sana ingekua mimi ningefukuzwa kazi siku hii hii.

John_4 的头像
John_46 天前

Hizi mambo za kusoma zimetoka wapi sasa? Kwani kusoma imekua ni uhalifu ama?

🇹🇿🇮🇷🇵🇸 的头像
🇹🇿🇮🇷🇵🇸6 天前

eti sisi tumechaguliwa na umma 😄 sijui umma gani anauzungumzia huyu kibaka 🚮🚮

halisi 的头像
halisi6 天前

Hii inchi ngumu sana, mfanyakazi kadhalilishwa! Katishiwa kusimamia maadili ya kazi. Kuna data protection act, na kwanini ommy hayupo babalevo ndo anauchungu na gari. Elimu ni muhimu sana

K A G U N G A B O Y 的头像
K A G U N G A B O Y6 天前

Nimemuelewa tu pale aliposema TRA wakizingua chama kinasemwa na Rais anasemwa.

Jinomoja 的头像
Jinomoja6 天前

Mwananchi gani aliyekuchagua. Mmepachikwa kwa mabavu. Mmeuwa watu alafu, eti mimechaguliwa na wananchi. Pumbavu zenu. Ubunge wa Damu na mtaachia ngazi tu.

Meck_M 的头像
Meck_M6 天前

baba levo hana logic 🚮🚮

Uriel25 的头像
Uriel256 天前

Inferiority complex

Silikazi 的头像
Silikazi6 天前

😂😂 sa Afisa wa TRA analalamikiwa nini ? Kusoma au kuto toa taarifa za mteja bila ruhusa ya mteja au …

2Furious 的头像
2Furious6 天前

Kuingilia mambo yasiokuhusu ndio huku sasa

Awesi Ally Mkubwa 的头像
Awesi Ally Mkubwa6 天前

Akiambiwa yeye huyu itamsaidia nini? Hili jamaa limbukeni

Johnson business 的头像
Johnson business6 天前

Ila wanasiasa banah amejibiwa kisomi anasema amejibiwa kihuni, acheni wataalamu wafanye kazi zao sheria haiangalii kama huyo upinde ni rafiki yako au sio

Eli Me 的头像
Eli Me6 天前

Shida ya ubongo kuwa ktk lipua lake nasio kichwani ndio hiyo. No elimu na mijaziba... afsa Tra amebehave very profesional na libaba Revo lina mprovoke tu

Kinap 的头像
Kinap6 天前

Hawa ndo watu wapo bungeni anashindwa kutofautisha uchawa na ubunge awamu ya 6 mmetufanyakuwa vituko

BAHATEM 的头像
BAHATEM6 天前

Wasiofika Shule huwa wana Inferiority complex saana, Utasikia KWA KUWA MM SIJASOMA😀😀. Baba Levo ni mbunge wangu lakini Huwa swala la shule linamnyima Amani saana, Huwez kugombea Hata udiwani ,Sasa unafikiria Kila mtu anataka kugombea kama wewe 😀

mwanzamakama 的头像
mwanzamakama6 天前

Michezo

Mayfirsty 的头像
Mayfirsty6 天前

Ha ha ha 🤣🤣 msichague Rasaba oooh sijui nini sijui nini sasa tunaisoma namba. Haya sasaagalasa yamejaa bungeni ndio yanayotutungia Sheria. Anajisifu kabisa sijasoma

Kinap 的头像
Kinap6 天前

Kwani wewe nani? Sengerema kabisa

Uriel25 的头像
Uriel256 天前

Sasa nani alikutuma usisome

CodeMetal 的头像
CodeMetal6 天前

Ukishasikia mtu anatumia maneno kama “wewe si umesoma, mimi sijasoma” au “wewe si una hela mimi masikini”… jua ni insecurity yake ndio inaongea muda huo🚮

Legendary of a village 的头像
Legendary of a village6 天前

Jamaa ameongea fact

Mzeru 的头像
Mzeru6 天前

Kuna issue ya kutunz siri za mteja/mtu kutoka kwa afisa husika hili nadhani Baba Levo hajalijua

Dicky Walker 的头像
Dicky Walker6 天前

Absolutely hajasoma na ni useless. Nakumbuka aliomba kumzalia mondi! How is that even possible??!! Huyo graduate wa TRA atakuheshimu kweli?! Not at all👎

timothy 的头像
timothy6 天前

Wanangu wote mnaoandika comment hapa mkipata fursa ya kuondoka Tz msigeuke nyuma, hii nchi ina watu ambao hawastahili walipo😄

black tea 的头像
black tea6 天前

Hawa ndio viongozi wa ovyo hawajasoma.

Mr.Eagle 🦅 的头像
Mr.Eagle 🦅6 天前

"Tunajua mnatudharau kwa sababu mmesoma" Kauli ya wajinga pekee

timothy 的头像
timothy6 天前

Kuongelea mambo ya elimu na ukijua hujasoma ni udhaifu wa kiakili ni kweli hujasoma na haustahili hapo ulipo na wanachi hawajakuchagua umewekwa

Exaudwilly 的头像
Exaudwilly6 天前

Huyu baba level muda sana nilisema hafai arud kwenye kamar

C.K 的头像
C.K6 天前

Uyo fala ka mind sio kwasababu hajapewa jibu, ame mind kwasababu anafikiri agent wa TRA amemdharau kumbe ndivyo ilivyo. Confidentiality ni muhimu lakini kwasababu hana elimu so his ego is bruised, such a stupid lad.

Stephano 的头像
Stephano6 天前

Kuna mahali wanasiasa waelewe tofauti ya serekali na CCM au chama tawala, huyo afisa TRA si mtendaji wa CCM ni mtendaji wa serekali hizo ni instruments mbili tofauti,

@See your self 的头像
@See your self6 天前

Drama izo wasemge tupo Lissu

相关视频