正在加载视频...

视频加载失败

Part One Part two Dunia hii 🙌🏻

42,650 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

37 条评论

dracula 的头像
dracula1 年前

kuna zile text za mwamba mmoja hivi anamwambia manzi "Dunia ina kaujinga flani hiv, kwa sasa huwezi nielewa" Sasa huu ndio huo ujinga wa dunia wenyewe sasa...

Princess🇹🇿 的头像
Princess🇹🇿1 年前

Karithi kwa aliyempa milioni 3 hapo jamaa alikuwa ananyonywa damu ni Bora asirudi nyuma

Duke Sam 的头像
Duke Sam1 年前

Kwahiyo hyo media ilifatilia mchezo mzima before and after ila dah🤣🤣🤣🤣 . Mwanamke huna Elimu na wala siyo mrembo na kazi ya kueleweka huna jeuri ya nn yaan? Pepo la umaskini lilikuwa linamsumbua .

NellyM 的头像
NellyM1 年前

Kwanini mashoga zake wasimsaidie kunyenyua biashara...maana walikuwa bora kuliko mme wake.

Yuleboi😶‍🌫️ 的头像
Yuleboi😶‍🌫️1 年前

part one oyaaa dunia tamuuuu part two eeh dunia chungu 😂😂😂

Towntrip 的头像
Towntrip1 年前

Hii ni quraani

WHYMYCATISSAD 的头像
WHYMYCATISSAD1 年前

Kuna wanawake ni wajinga sana aisee

Mopay  的头像
Mopay 1 年前

Huyo ndie Mwanamke mabibi na mabwana! Kwa mwezi anakuwa kwenye versions 4 na version yake moja imemchomesha now anajuta😂

𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 的头像
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿1 年前

Hii ndo ghafla bi vuu sasa. Sema wanawake wa Pwani shida tupu.

Muuza_Mabati-OG🇹🇿 的头像
Muuza_Mabati-OG🇹🇿1 年前

Feminists waje wamuokoe ndugu yao huku kumamae 😂🚮

Pearlr_ 的头像
Pearlr_1 年前

Kucheza chura ndo mchezo gani huu?

prosper danny 的头像
prosper danny1 年前

Mwenye namba ya mwanaume amwambie akaze kuddk achukue watoto huu ni usenge wenye masters kabisa

Trica Online Store 的头像
Trica Online Store1 年前

huyo namjua nilisomaga nae anaitwa kwelu john

Kifimbo Cheza 的头像
Kifimbo Cheza1 年前

Thamani ya kitu utaijua pindi kitu hicho kikikutoka.

𝐌𝐫 𝐌𝐭𝐚𝐳𝐢 的头像
𝐌𝐫 𝐌𝐭𝐚𝐳𝐢1 年前

Mtu na Mama yake wote hamnazo 😀😀😀

Mr. Kgt 的头像
Mr. Kgt1 年前

Watu wake wa chura wamsaidie

R A N C O 的头像
R A N C O1 年前

Life comes at you fast 😄😄😄 cheki alivyokonda

Strange Migrant 的头像
Strange Migrant1 年前

Nyumba washauza anataka warudiane wakakae wap? Dada aendelee kucheza chura miksa kuuza paka

Cescpol 的头像
Cescpol1 年前

@heis_marlon hapo jamaa akirudiana nae achapwe viboko 99 uwanja wa taifa pale tena irushwe mbashara, tuwekewe na kiingilio kabisa mamae

Kindai Aries 的头像
Kindai Aries1 年前

Kwani chura si bado anaweza kucheza huyo mdudu? Akiendeleze.

The Real Infidel. 的头像
The Real Infidel.1 年前

😂 Chura ana jump jump sio.

LUSAJO 的头像
LUSAJO1 年前

Wakati ni MWALIMU, Wakati ni MWAMUZI. Ukitaka Ujue thamani iliyomo ndani ya WAKATI ni lazima uwe na HEKIMA!! Malezi Bora ni sehemu ya HEKIMA! Haya nimekupa equation, malizia kufanya Hesabu.

Hushah Shashaa 的头像
Hushah Shashaa1 年前

Atafute féministe wamsaidie

Wa Khaya 的头像
Wa Khaya1 年前

Wanawake wetu hawa shida tupu

ALan Mapigo 的头像
ALan Mapigo1 年前

Media hio hio zote part 1 na 2 pumbav zenu

Comrade93. 的头像
Comrade93.1 年前

Hakuna kurudi bado Dunia ina jambo la kukufundisha

MBU🚥🚦 的头像
MBU🚥🚦1 年前

Mwandish nisaidie kumwaga qmmke zake

✾•◆hANs◆•✾ 的头像
✾•◆hANs◆•✾1 年前

DOH

Wise 的头像
Wise1 年前

Alivyokua kwa mume alikua amenawiri maskini😁😁😁

Trica Online Store 的头像
Trica Online Store1 年前

nuru hamna

Baraka 的头像
Baraka1 年前

Mwanakulifind mwanakuliget😂😂😂

RASTAFARI CARIA 的头像
RASTAFARI CARIA1 年前

😅😅 duh

LOPERAMIDE 的头像
LOPERAMIDE1 年前

Wanawake😂😂😂🙌🏾

MWAISA 的头像
MWAISA1 年前

Hakuna ashindwee

Humphrey Mbaga 的头像
Humphrey Mbaga1 年前

Sasa c aende Kwa wale marafiki zake wanaocheza chura

papaa 的头像
papaa1 年前

Ishini nao kwa Wema lkn Msiwaamini hao Wanawake!🤣🤣

Mwesi 的头像
Mwesi1 年前

Aysee!! Dahhh!!! 🙌🏾

相关视频