Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Part ya wimbo wenyewe..
12 Yorum

Amina, Wimbo wa Rose Mhando, Wapanda kwenye Treand, baada ya Comedian "Scotty Big" Kucheza wimbo huo akikumbushia style za Rose Mhando za kucheza miaka hiyo Now, Wakenya wamepokea Kijiti baada ya Mdada kutoka Zambia kucheza challenge hiyo... Angalia.. Video kwa Comments 👇

Scotty Big 😂😂

Dada wa Zambia, s aliyeingia Kwa Challenge 😂😂😂

Malawi nao wakaingia kwenye Challenge 😂😂

Huyu nae wa Nchi gani 😂😂

Wakenya wakaanza chukua video ya Dada wa Zambia na kuwekea Shida zao 😂😂

Huyu nae Nchi Gani 😂😂🙆♂️

Kenya Once again 🙆♂️😂😂😂

Bonus Video (Erick Mhando) 😂😂😂🙆♂️

We're Flying out now

Ila Rose Muhando kwenye peak yake🙌 sizani kuna imbaji la gospel lately anaeza fikia zile levels😂😂 in terms of nyimbo kali even influence pia

@Yohan72083553 Yani apo kuna kuimba😆😆😆 alafu kuna mazoezi ya kutosha 🤣🤣🤣😢
