正在加载视频...

视频加载失败

Pastor kafunguka!! 🤣

90,843 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

B R U I N 的头像
B R U I N1 年前

Sio Pastor huyu na Maskini ya Mungu hajui hata Majukumu aliojivisha yalivyo sio ya mzaha. Agano la kale tofauti na Agano jipya. Mdo 17:30 "Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu".

Ekony Jr 的头像
Ekony Jr1 年前

mwamba hanaga kipengele labda uje nacho wewe😂😂

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

this one is truly a vibe

Innocent Man 的头像
Innocent Man1 年前

Sasa hapo utakua na wanawake wangapi wa kuoa? Ina maana hata hao wanne hawatoshi .Huyu anatuaminisha tuwe tunakula uroda na kusepa.'Hit and Run '

walk alone 的头像
walk alone1 年前

Huyu tapeli wa imani,mwanaume gani anabana pua? Mafundisho ya hovyo kabisa

𝗠 𝗲 𝗞 𝘂 🌍 的头像
𝗠 𝗲 𝗞 𝘂 🌍1 年前

"we si auna hela ngoja upate hela"😂😂 ameua apo

hakaido 的头像
hakaido1 年前

Mbona wanyama hawana tamaa ni uhuni tu unaweza kukaa na mke mmoja tendo la ndoa ni kwa ajili ya kuongeza dunia na sio starehe. Wacheni uzinzi ndio chanzo cha matatizo yote kama hutaki kuzaa ni marufuku tendo la ndoa !

Ashraf Kambenga 的头像
Ashraf Kambenga1 年前

PROUD TO BE MUSLIM.😂

Mara finest 的头像
Mara finest1 年前

It's clear massage

Mr.Eagle 🦅 的头像
Mr.Eagle 🦅1 年前

Sacrifice kabisa

Mtambo wa gongo 的头像
Mtambo wa gongo1 年前

@SaveMyVideo

相关视频