Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Pastors have started talking to chicken.
176,070 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Huyo msee anamfinya 😂😂pastors will be the end of many people

Na bado usisahau anagawa nguvu zakiume pia 😂😂

Mike Sonko for Governor, Mombasa County

Huyu jamaa anafinya hiyo kuku ndio itoe sauti sasa akivunja mbavu itakuwaje 😂😂

The one holding the jogoo, anaifinya hapo kwa shingo ! Halafu watu wenye akili timamu wanatii ati upaku surely!! Meanwhile , am wondering what the hell did over 18yrs, with sane mind , listening & watching here!?

Huyo mwenye ameishika anaifinya adi inatoa sauti

kamba pastors are catching up on the lucrative trade

Hiyo jogoo inafinywaa na huyo mtuu😂😂

Not all. I only eat chicken. #Welcomed #Menengai6Revival

Khai c uyu mtu ataua jogoo anaifinya sawasawa
Benzer Videolar
Sensitive content
Breasts or thighs? (I’m talking about chicken)
Jasmine Teaa
30,899 görüntüleme • 1 ay önce
