Skip navigation
Peace if possible, truth at all costs.
0:00 / 1:29

Peace if possible, truth at all costs.

Shaffih Dauda

@shaffihdauda11M followers

Visit on X
216 likesDownloadOriginal post

28,824 views

Peace if possible, truth at all costs.

32 Comments

Comments from the original post on X (Twitter)

  • NACHAMBA KWA GUNZI's profile picture

    @kasambalason

    Ndugu yenu mimi Nimefariki Lakini haukuwahi hata kuzungumza chochote Leo hii kwasababu ya njaa zako Unaongea ushubwada Haukuja hata msibani kwangu Leo unajifanya kuipenda sana amani kuliko HAKI yangu yakuishi

    14 likes

  • WISDOM's profile picture

    @Prezzdanho

    😄😄😄😄tangu ulipojionesha kuwa unataka uongoz kupitia mboga mboga, na ukaamini kuwa mboga mboga ndio kila kitu basi na fuvu lako unaendelea kulikaza ukiamini kuwa upo sehemu salama. Shtuka mzee, hizi ni nyakati nyingine.

    13 likes

  • CAESAR's profile picture

    @caesar_monster

    Hamna beberu anayetaka upumbavu wenu ,issue n kwann watu wakikosoa wananyamazishwa na risasi ,kutekwa na kuzuiliwa magereza kwa kesi za kubumba ? Mmeuza bandar zote tanganyika , mbuga za wanyama karibia zote kila Aina ya uwekezaji ambao ata wananchi wanauweza mmemlkisha makaburu

    13 likes

  • Joachim Moshi's profile picture

    @JoachimMoshi

    Acha ukumanina wewe mpumbavu, zama hizi hamtushikii akili tunajitambua na huo usenge wenu muwaambie watoto wenu ila siyo Tanzania ya sasa kizazi hichi siyo tunataka HAKI na UWAJIBIKAJI msilete ngonjera, huyo jamaa wa jalalani akikutana na huyu wa sasa lazima wazinese.

    12 likes

  • Zee la vyeti feki's profile picture

    @DanMkoba

    Sawa kakuskia marehemu.

    11 likes

  • Officialfredi's profile picture

    @officialfredi

    Tutolee Ujinga nyie ndo walewale,mnazungumzia amani ipi wakati watu wanatekwa kila siku,watu wamepoteza wapendwa wao na familia nyingi zinaishi katika dimbwi la umaskini?Semeni tulinde matumbo yenu sio amani

    9 likes

  • Anthony's profile picture

    @casan_1

    hayo maneno wajiambie wenyewe wanapokaa huko kwenye vikao vyao vya viongozi, vitendo vyao ndio chanzo namba moja cha uvunjjfu wa amani. Kuteka teka watu, kuuwa watu, ufisadi na kudhurumu mali ya umma.

    7 likes

  • Eng Kevin's profile picture

    @Mafuvu62

    Kuchezea amani ni kuwaacha ccm madarakani kiharam na muendele na wizi na ufisadi wenu. Wewe msenge kwa kizazi hichi umekwama na nakwambia tu 09 Disemba tupo barabarani

    6 likes

  • Mbwaa wa Ileje.'s profile picture

    @Baharyy25

    Achen kuua na kuteka watu ,kuma nyie arafu mnajikausha kimyaa kama vile hakuna hilo janga Tanzania.

    5 likes

  • Athman MWINYI's profile picture

    @Mwinyi1Athman

    huyu mzee anafikiria anazungumza na wanafunzi kila anaposema kitu. mwanafunzi huwa anapokea nachoambiwa. mtu mzima huwa natakarai kama yanamfaa kwanza na yule anayesema kama ni mtu wa kuaminiwa.

    4 likes

  • Mhenga wa Kusini's profile picture

    @MuyoYusufu

    Unalizungumziaje swala la Rais kuteuwa relatives kwenye baraza la mawaziri?

    4 likes

  • NGONI SHOES STORE's profile picture

    @mtumba_OG

    Gas, petrol, inchi tajiri haiwez kuwa na maana kama cake ya taifa inaliwa na wachache na ukikosoa unaitwa muhaini, unatekwa, unauliwa , unafirwa utajiri hauwez kuwa na maana kama wale wanufaika hawanufaiki na wanadharauriwa

    3 likes

  • Gimmy's profile picture

    @jkbtetes107

    Hao hao unaowaona wew ni viongozi ndo vibaraka na adui namba moja kwa taifa wako pamoja na hao wanaowaita mabeberu kwa mgogo wa wawekezaji fungua akili yako jifunze namna nchi ilivyo toka mwalimu mpka sas utaelew nin namaanisha

    3 likes

  • ked 🇹🇿's profile picture

    @kendrickiny

    Tulipaswa kusikilizwa sio kupuuzwa mtawatia bure lawama mabepari tumejiloga wenyewe

    3 likes

  • Valuer Frank Msacky's profile picture

    @ValuerMsacky

    Kuna kitu watu hawaelewi Gen Z hawapendi mabepari ila tuishi kivyetu kwa mifumo ambayo haki itamnemesha kila mtu. Ila sio kila mambo yakivurugika tukimbilie kulaumu mabepari. Mm mwenyewe sipendi mabepari ila tujiangalie je mifumo yetu ni ya haki.

    3 likes

  • Japhet Kembo's profile picture

    @Japhet__Kembo

    Sijui kwa nini MO29 hayakukuputia ukafa msenge wewe chawa pro max. Matako yako

    3 likes

  • Mti Pesa's profile picture

    @Aydidkingkunta

    Uchawa unamaliza Taifa km tunahubir Amani tutangulize haki kwanza

    3 likes

  • FFE MC531's profile picture

    @IMongomongo

    Ndo kisingizio hiki ili mteke na kupoteza watu? Kila mtanzania anaipenda nchi yake ila pale tu haki itakuwepo. Huwezi nipotezea mzazi wangu afu nisi react kwa kisingizio cha amani. Ombi langu kwa viongozi wenye dhamana, watuongoze vizur kwa haki na uhuru ili tuone kama shida wap?

    2 likes

  • mzalendo🇹🇿's profile picture

    @Hamadbakari2

    Anayepaswa kuilinda nchi wa kwanza ni mtawala kwa kutenda haki kabla ya mtawaliwa.

    2 likes

  • Bazenga�'s profile picture

    @kiotastar

    Umri wakoo peleka ushauri kwa watoto wako

    2 likes