Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Perfomance ya Zack ya Kufungia Show...

27,441 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

12 Kommentare

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 1 Jahr

Ok! Watu walikuwa wanalalamika na Kupost kuwa Kwanini Lydia Hakuwa mshindi wa BSS. Inshort mwaka jana Kulikuwa na Vipaji vingi sana ikiwemo mwamba huyu hapa.. Razack Adamuu.. Aliyenyanyua kila mtu kwenye Perfomance yake ya Mwisho wa BSS Angalia... Video kwa Comments 👇

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 1 Jahr

Perfomance ya Lydia ya Mwisho iliyomfanya akatoka na kushindwa kuendelea Kwenye Top 5

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

does this song fit Miami

Profilbild von Ibrahim traore
Ibrahim traorevor 1 Jahr

Sikiliza ya huyu jamaa..ndio mtajua MTU wenu kaaribu

Profilbild von Sonppy
Sonppyvor 1 Jahr

Huyu jamaa kwakwel yuko talented , ila kwa muziki ulivo na maajabu lydia atakua star jamaa atabak underdog😂

Profilbild von Edward Seleleko
Edward Selelekovor 1 Jahr

Jamaa sauti anayo lakn technically wimbo wa R-kelly umemtesa saana kuanzia mwanzo hadi mwisho "master j hamna anachojua kuhusu mziki

Profilbild von Meeknego
Meeknegovor 1 Jahr

Hiyo performance ya wimbo wa R Kelly, imemshinda. Kuanzia matamshi ya maneno ya Kiingereza hadi delivery. Huenda ni kwasababu hakukuwa na alofanya bora zaidi yake. Mid talent, mid performance.

Profilbild von Yule-Boy💫👑
Yule-Boy💫👑vor 1 Jahr

Sister ana saut Nzur. Sema hapo majudge wamecheck vocal sound yake kuna sehemu kakosea kidogo. Huo umwanya ndio umemkosesha chance. Ila yupo vzr sanaa🔥🔥atafika mbali. Ni matter ya ku pull up🫡ila naamin Mungu kamfungulia njia Maana bila kutoka BSS wengi wetu tusingemjua

Profilbild von Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎vor 1 Jahr

Wimbo wa R.kelly kauharibu

Profilbild von AD
ADvor 1 Jahr

Huyu jamaa ni🔥🔥🔥

Profilbild von king sir
king sirvor 1 Jahr

Hii kipaji ni noma🔥🔥🔥

Profilbild von Mmongori96
Mmongori96vor 1 Jahr

Japo nyimbo zote nimesikiliza kidogo itoshe kusema hao BSS walishamuandaa huyo Razaq Kama mshindi wao imagine jamaa kaanza kuimba hao kina master J wote huko wamekuwa na vibe yaani kwa pamoja tukisema wameambiana na kupanga mshindi wanaomtaka watasema tunawasema wasenge hao

Ähnliche Videos