正在加载视频...

视频加载失败

Performance ya Leonardo Jana 😂😂🔥🫶🏼🫶🏼

159,711 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

9 条评论

Erick Kibada 的头像
Erick Kibada2 年前

@iam_JacksonJ @faudearmimi Wajitahidi afya sasa🤣

Kev Again 的头像
Kev Again2 年前

@faudearmimi Njaa kali 😂

𝕏▪ 的头像
𝕏▪2 年前

@iam_JacksonJ Wasanii wa bongo aibu kwao comedians na machawa wanaujaza ukumbi kama huo sold out wao wanashindw kuanda show zao kiingilio kiwe kuanzia elf 50 na wakajaza hata watu 1000 Kama hvyo?!! 50000 x 1000 = 50, 000,000

INTERIOR ZOO🛋️🐐 的头像
INTERIOR ZOO🛋️🐐2 年前

@iam_JacksonJ Mkongo umeharibika mtandao utasimamaje😂

Kamba Korch Boy🦐 的头像
Kamba Korch Boy🦐2 年前

@iam_JacksonJ Hapa hakuna mchekeshaji ni kupeana riski tu alimradi maisha yaende na ionekane vijana Wana vipaji na kama hauja jiandaa kucheka basi hauwezi Cheka ng'oo kama umetolewa Bandama vile Babu Kuna watu ukiwaona tu unacheka kile kitendo Cha kuwa Angalia tu mkawa mnacheka ni 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Abduli Kaifa 的头像
Abduli Kaifa2 年前

@iam_JacksonJ 😀😀😀 noma kweli kweli 🙌🏾

Kev Again 的头像
Kev Again2 年前

Hatar kaka

Lab Technologist 🔬 的头像
Lab Technologist 🔬2 年前

@iam_JacksonJ Dogo hatumii nguvu

Kev Again 的头像
Kev Again2 年前

Dogo anafanya kama vile for fun 🫶🏼

相关视频