Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Pilot imelipa..Now we go full scale 💪🏾💪🏾
16,214 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Gen Z ya kenya ina la kujifunza hapa.

Kazi njema Mungu akubaliki kwa kuthubutu na kuja na Maamuzi chanya na sahihi.

Utapeli

We're Flying out now

How was the costs implications Mhe Waziri?? Mfano drone per acre??

Hongera sana mheshimiwa na wizara yako je haya mafunzo naweza kujumuika mtu mwenye umri ya miaka 15!?

Hiiii nchi inamatapeli wengi sana

Mh Bashe naomba nikuone Wizarani baada ya Mkutano mkuu wa chama. Nina jambo muhimu sana.

Alhamdulilah

Very slowly

Mheshimiwa waziri, changamoto ya ugonjwa wa fungashada ya migomba~Banana Bunchy Top Virus (BBTV) wilayani buhigwe jitihada zimezima kabisa baada ya USAID kusitisha FUNDS Kwa baadhi ya organization zilizokuwa zinapambana na ugonjwa huo kukosa funds. Ni upi mpango wa serikali sasa
Ähnliche Videos
Micheal D Started doing it now it’s a must dawggg 💪🏾💪🏾
Joseph Clark III
10,119 Aufrufe • vor 2 Monaten
