Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

34,035 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля 𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚2 лет назад

Kusema ukweli hii boti wakati ikizama imenifanya nitafakari sana kuhusu maisha ya mwanadamu. Siku za mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ni chache sana nazo zimejaa taabu. Kuna Video Comment Section: 👇👇

Фото профиля Odhiambo Cairo
Odhiambo Cairo2 лет назад

Daahh aiseeh Maisha hayatabiriki . Umetoka nyumbani unawahi sijui biashara na safari zingine. Maisha yako mikononi mwake aliyeyatoa

Фото профиля Shayo Family
Shayo Family2 лет назад

Sababu kubwa ya haya yote ni umaskini

Фото профиля MbundaTz 🇹🇿
MbundaTz 🇹🇿2 лет назад

Congo hivi wanaongea kiswahili kizuri tu

Фото профиля Ms Chengula
Ms Chengula2 лет назад

@itzjacton usipande hii kitu tena mwanangu

Фото профиля CACTi
CACTi2 лет назад

Mbona hii boti imepinduka fasta sana.

Фото профиля Aeyel Malima
Aeyel Malima2 лет назад

Vinapakia kuliko uwezo ingine ikifel kidogo tu aaaaah

Фото профиля Charming Boy.!
Charming Boy.!2 лет назад

Hivi ni wote wamefariki au kuna ambao wamefanikiwa kuokolewa.?

Фото профиля Mbwiga Haruna
Mbwiga Haruna2 лет назад

Dah inauma Sana Nashindwa kuelewa Namna ilivyotokea Ajali iyo kiukweli mungu tulinde

Фото профиля Kepha Dickson
Kepha Dickson2 лет назад

Poleni sana ndugu zetu.

Фото профиля Missago.jr
Missago.jr2 лет назад

@TweetHelperBot download this video please

Похожие видео