ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

34,035 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 1 ๅนดๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

11 ๆก่ฏ„่ฎบ

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š ็š„ๅคดๅƒ
๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š1 ๅนดๅ‰

Kusema ukweli hii boti wakati ikizama imenifanya nitafakari sana kuhusu maisha ya mwanadamu. Siku za mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ni chache sana nazo zimejaa taabu. Kuna Video Comment Section: ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Odhiambo Cairo ็š„ๅคดๅƒ
Odhiambo Cairo1 ๅนดๅ‰

Daahh aiseeh Maisha hayatabiriki . Umetoka nyumbani unawahi sijui biashara na safari zingine. Maisha yako mikononi mwake aliyeyatoa

Shayo Family ็š„ๅคดๅƒ
Shayo Family1 ๅนดๅ‰

Sababu kubwa ya haya yote ni umaskini

MbundaTz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ็š„ๅคดๅƒ
MbundaTz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ1 ๅนดๅ‰

Congo hivi wanaongea kiswahili kizuri tu

Ms Chengula ็š„ๅคดๅƒ
Ms Chengula1 ๅนดๅ‰

@itzjacton usipande hii kitu tena mwanangu

CACTi ็š„ๅคดๅƒ
CACTi1 ๅนดๅ‰

Mbona hii boti imepinduka fasta sana.

Aeyel Malima ็š„ๅคดๅƒ
Aeyel Malima1 ๅนดๅ‰

Vinapakia kuliko uwezo ingine ikifel kidogo tu aaaaah

Charming Boy.! ็š„ๅคดๅƒ
Charming Boy.!1 ๅนดๅ‰

Hivi ni wote wamefariki au kuna ambao wamefanikiwa kuokolewa.?

Mbwiga Haruna ็š„ๅคดๅƒ
Mbwiga Haruna1 ๅนดๅ‰

Dah inauma Sana Nashindwa kuelewa Namna ilivyotokea Ajali iyo kiukweli mungu tulinde

Kepha Dickson ็š„ๅคดๅƒ
Kepha Dickson1 ๅนดๅ‰

Poleni sana ndugu zetu.

Missago.jr ็š„ๅคดๅƒ
Missago.jr1 ๅนดๅ‰

@TweetHelperBot download this video please

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘