Loading video...
Video Failed to Load
Polepole awashangaa viongozi wa CCM kutangaza maridhiano baada ya uchaguzi: 'Turidhiane sasa' "Turidhiane sasa, na Mtanzania yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii atasimama imara kusema turidhiane sasa na siyo baadaye. Watakaoridhiana baadaye na matendo mabaya yanafanyika sasa hivi, watakuwa wasaliti wa maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania."
10,925 views • 11 months ago •via X (Twitter)
0 Comments
No comments available
Comments from the original post will appear here
