Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Polisi wamemkamata tayari...

48,118 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 12

Фото профиля Latto 𝕏
Latto 𝕏1 год назад

Tanzania Imekuwa kama US? mwamba kashika Bastola anamtishia mtu, Kwa sababu ana Cheo.. Oyaaa 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ Wasikilize wazee wa Minyama... Video kwa Comments👇

Фото профиля Latto 𝕏
Latto 𝕏1 год назад

Ebana...

Фото профиля Bukayo shafi🇹🇿
Bukayo shafi🇹🇿1 год назад

Subtitle sasa😂😂🙌

Фото профиля J 3502
J 35021 год назад

Mbona kamanda MULIRO haja tuambia huyo deriki ana kitengo gani au kazi gani au anajihusisha na nini au yeye ni nani mwajiriwa wa wapi maana ina semekana nimfanya kazi au mwajiriwa kwenye shirika la kukusanya mapato ???

Фото профиля gm
gm1 год назад

@tanpol hili ndo jesh la Tanzania tunalolitaka, na tunalotaman liwe hiv. Niwapongeze Sana. Ila niwaombe Sasa tupen majibu ya kina @Sativa255 Kna Soka nk, Tunaamin mnaweza ila mnaamua kuchekewa tu

Фото профиля SEMA KWELI TU.
SEMA KWELI TU.1 год назад

Unajua @tanpol kama hawaoni hiv alietishia au alieanzisha mashambulizi maana video ipo wazi kazi na nasema tunataka hizi camera hadi barabarani watu tunatishiwa sana na tusio wajua yani nchi yetu na tunaonewa tumechoka.police muelewe hatutaki uonevu barabarani tanzania ya wote.

Фото профиля Deodat Temba
Deodat Temba1 год назад

Kavideo basi tuone kama kweli

Фото профиля GraceofGod
GraceofGod1 год назад

Kama sio camera ilikuwa imeisha hiyo.

Фото профиля Another level
Another level1 год назад

Polisi washamba tu... Taarifa za Kiseng** mnafanya haraka kutoa majibu ...

Фото профиля ernest
ernest1 год назад

Kwanza funga hiyo club wataingia vp na silaha

Фото профиля Dee🍁
Dee🍁1 год назад

Michezo😂

Фото профиля TanzaniaKwanza 🇹🇿
TanzaniaKwanza 🇹🇿1 год назад

Umemuonaaa...?

Похожие видео