Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Pombe sio starehe
22,421 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Solar Heavy1 год назад
- Come Around

GMO1 год назад
Hapana, wengine tunakunywa kwa strarehe. Tuko na marafiki, wakati mwingine wife. Wala hatuna stress. Hapo kuna kosa tunafanya? Na hatumtukani mtu, na tunamkubali Yesu kama Bwana na mwokozi wetu.

Bright Mollel1 год назад
Ameeen Rev

Thadeo Ze King 👊🇹🇿1 год назад
Hakika..🙏

Chaz Murimi 🇹🇿🇰🇪🇺🇸🇺🇦🇮🇱1 год назад
Amina baba askofu. Nimejifunza kitu

Anthony1 год назад
Sifongo na siki

Lokasa ya mbongo1 год назад
Uwezi kukaa baa usiku mzima na Fanta orange. 📌

Michael Jr Assenga1 год назад
Kama ni kuhusu tabu watu wengi sana wanatakiwa wanywe maana watu wenye tabu ni wengi sana. Amen🙏

emanuel1 год назад
@ElionaKimaro eti baba kunywa kiasi ni vibaya/dhambi au?

Sarwatt1 год назад
Umewahinkuinywa Mzee WA kichaga???
Похожие видео
1:32
Sensitive content
Pombe sio supu. Avoid women who take alcohol at all costs.
Bill ™
317,983 просмотров • 11 месяцев назад
