正在加载视频...
视频加载失败
Presentation.😃😃
28,900 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

k e m o s v b e2 年前
@Mufasa_aa unakumbuka ndugu yako @Eddie_bojobojo alikua anabana miguu na kufinya macho hapo kasahau point😂😂

It'sImma2 年前
Af wahuni kama hao ndo wanakulaga madem hatari😂

._iam⚓chandrv 🇵🇸2 年前
Hapa ndio ilikuwa sehemu yangu ya kujidai.., Kujieleza kwa Vimalkia lakini Mitihani ikija Hamna Bumunda kama Mimi Aisee 😂😂

◇2 年前
Jana kwenye press bwana @DEUSDEDITHSOKA alisema "...vijana get prepared, get preparation to make sure we are going to fight to your country..." na tulimuelewa tu yaani✌️😁

𝐍𝐎𝐍𝐃𝐎 𝐙𝐀 𝐊𝐈𝐑𝐀𝐍𝐉𝐀2 年前
😂🙌🏿

Bandura2 年前
Sio poa, ila mi nilikuwa nalala na 150 yaani mhadhili akigeuka nimeshamaliza yangu😂

Regent.2 年前
Daaah lazima arudishe ADA ,MAMAE 😁

Paschal sam2 年前
😂😂

rasta bonii2 年前
Education is the KEY ofu laifu

Davis2 年前
maigizo
