Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Prof. Janabi, Vile SUKARI Inakumaliza ⚠️
72,161 Aufrufe • vor 3 Jahren •via X (Twitter)
10 Kommentare

Huyu doctor ukimsikiliza sana unaeza ukaacha hata kula 😂😂..kila kitu atasema kina sumu itafika mahali aseme kuongea kuna tanua moyo..

Jana kwenye Foundation ya Prof Jay, Prof. Janabi Kaongelea Ishu Moja ya... "INTERMITTENT FASTING" Nikasema Hiki Kitu ndo Millambo Anakisema na Sisi Tunakaza MAFUVU yetu Kila siku. PS: Kadri Unavyozidi Kula Sana Ndivyo Unavyozidi Kuumwa.

Watu wanakunywa chai kwa kuwa ni Asubuhi hata kama mwili hauna njaa! 😭😭😅😅

"Kula Unaposikia Njaa Na Ukila Usishibe Kupitiliza " ....

Samahani hivi K-vant ina sukari mtaalamu, nataka niwe nakunywa hio asubuhi😖

Prof Namkubali, sana lakini anasemaga tukienda kwenye sherehe ukumbini tusiufinye mchele 🤣

Ila maisha haya jmn ,unakuta badae Prof.Janabi naye anaweza akaugua diabetes ! Mungu tu atunusuru

Mi ninachoelewa ukiweza kuovercome mucus in your body utaishii maisha marefu sana achana na haya ya sukari na machumvi

Madaktari bingwa Wa Magonjwa Ya Ndani Wanajua Ukweli Mwingi kuhusu mwili, tunakula Sana Kwa Mazoea

Balanced Diet lazima iwe na sukari na pia ni lazima ufurahie chakula unachokula ni moja la hitaji la mwanadamu. Ukiwa unakula chakula ukifurahii kuna madhara ya kiafya pia.
