Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Puahahahahahahahahahshahaha

27,272 просмотров • 2 месяцев назад •via X (Twitter)

Комментарии: 0

Нет доступных комментариев

Здесь появятся комментарии из оригинального поста

Похожие видео

SAMIA KINGS & QUEENS 2.0 Nimekutana clip ya Jongwe, akielezea issue ya “Bongoflava At 30” ilivyokuwa nyuma ya pazia, akigusia mambo ambayo niliyasema ila baadhi wakanishambuliwa as if nimepakazia watu. Sugu amesema chimbuko, miamala ilivyotembea, etc, hadi yeye kuja kutambua kuwa wanataka kuleta SIASA. Yale yaliyokuja kufanyika au kutaka fanyika na raia kuyagomea ni kielelezo kuwa SUGU ALIKUWA SAHIHI… na mimi pia nilikuwa sahihi. Ilijengwa Nadharia kuwa huu ni Mwaka wa Hip Hop!! Na kila mtu akataka kujihushisha na Hip Hop, hata watu ambao walidai HIP HOP HAIUZI… Babu Tale eti akadai kum-support Mulla Obo as if maudhui na style yake sio sawa na Conboi, Tamaduni, Tukusa, Frege, Trubadour, Nala Mzalendo, Adam Shule Kongwe, Mantiki Barz, etc. Kiufupi ni wame Take advantage ya Bongoflava kutaka kufanya agenda zao. So show yao ni ZAO la Nadharia ya “Mwaka Wa Hip Hop” na pia kama alivyosema Sugu, Matokeo ya Mafanikio ya BONGOFLAVA HONORS. Kama kweli lengo kuu ni kuuthaminisha muziki na kuadhimisha muziki au Neno “Bongoflava”, walikuwa wapi miaka 10, 20, 25? SERIKALI HARAMU inatafuta LEGITIMACY, hivyo itafanya kila iwezalo kuipata, na Bahati Mbaya, WASANII WANA NJAA, hivyo kuwachota akili kwa vijisenti ni dakika sifuri. Kuna Wasanii hata siwalaumu maana hali ya uchumi ni mbaya, na wapo wahuni wetu wanashiriki huku wakijua kuwa mchongo sio ila ndio watafanyaje sasa. Wapo Wasanii wengine wapo Kibiashara tu, na bila kujali issue zingine wanaweka dau tu. Ila Wasanii ambao ni SELLOUTS ni wale wanaojua UKWELI, alafu wanaufumbia macho, na kuu JUSTIFY, na wanataka tuwaone eti wao ni REAL HIP HOP! Sisi wote tunapenda Muziki, na tunataka Tasnia ikue na iwe na faida kwa wote wenye vipaji, ila tusitumike kizembe. Pia, tukisherekea Muziki wetu, basi tufanye kwa ukubwa na sio kimazoea na kimiyeyusho kisa tu tumewazoesha Mashabiki wetu vitu MEDIOCRE tukijua hawatolalamika. Haya mliokuwa hamuelewi nisemayo, MSIKILIZENI SUGU The Leader! Clip courtesy of Simulizi Na Sauti

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

38,408 просмотров • 23 дней назад