正在加载视频...

视频加载失败

Pumpp pumpp pumpp!!

18,509 次观看 • 3 个月前 •via X (Twitter)

0 条评论

暂无评论

原始帖子的评论将显示在这里

相关视频

Mfumo wa mawasiliano wa Serikali wa eMrejesho toleo la pili (eMrejeshoV2) kutoka Tanzania, umechaguliwa kuwania Tuzo za Mkutano wa Dunia kuhusu Jamii ya TEHAMA mwaka 2025 (World Summit on the Information Society -WSIS 2025). Mfumo huo umechaguliwa katika kipengele cha Serikali Mtandao (e-Government AL C7), ikiwa ni miongoni mwa mifumo 360 ya TEHAMA iliyofuzu hatua ya mchujo kutoka kwa zaidi ya maombi 1000 ya mifumo ya kidijitali yaliyowasilishwa kutoka mataifa mbalimbali duniani Tunaomba uupigie kura mfuno huu iki nchi yetu iweze kushinda na mwisho ni tarehe 30 Aprili 2025 saa 6:00 usiku, Jinsi ya Kupiga Kura 1. Tembelea Tovuti Rasmi ya WSIS Prizes ya 2. Ingia au Jisajili. - Kama tayari una akaunti ya WSIS 𝗯𝗼𝗻𝘆𝗲𝘇𝗮 𝗟𝗼𝗴 𝗶𝗻 na ingiza taarifa zako. - Kama huna akaunti, bonyeza “𝗥𝗲𝗴𝗶𝘀𝘁𝗲𝗿 𝗮𝘀 𝗮 𝗻𝗲𝘄 𝘂𝘀𝗲𝗿” kisha jaza fomu ya usajili 3. 𝗙𝘂𝗻𝗴𝘂𝗮 𝗙𝗼𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗞𝘂𝗽𝗶𝗴𝗮 𝗞𝘂𝗿𝗮 (𝗩𝗼𝘁𝗶𝗻𝗴 𝗙𝗼𝗿𝗺) Ukishaingia kwenye mfumo, nenda kwenye sehemu ya "𝗩𝗼𝘁𝗶𝗻𝗴 𝗙𝗼𝗿𝗺.” 4. 𝗖𝗵𝗮𝗴𝘂𝗮 𝗞𝗮𝘁𝗲𝗴𝗼𝗿𝗶𝗮 𝗦𝗮𝗵𝗶𝗵𝗶 Kutoka kwenye menyu ya kushuka (dropdown), 𝗸𝗮𝘁𝗲𝗴𝗼𝗿𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗲𝗚𝗼𝘃𝗲𝗿𝗻𝗺𝗲𝗻𝘁 𝗔𝗟 𝗖𝟳 5. 𝗞𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗧𝗮𝗳𝘂𝘁𝗮 𝗻𝗮 𝗣𝗶𝗴𝗮 𝗞𝘂𝗿𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗔𝗜 𝗽𝗼𝘄𝗲𝗿𝗲𝗱 𝗲𝗠𝗿𝗲𝗷𝗲𝘀𝗵𝗼 𝗩𝟮 Pitia orodha ya miradi ndani ya kategoria hiyo ya eGovernment AL C7 hadi uione 𝗲𝗠𝗿𝗲𝗷𝗲𝘀𝗵𝗼 𝗩𝟮 kisha bonyeza 𝗩𝗼𝘁𝗲 𝗙𝗼𝗿 𝗧𝗵𝗶𝘀 𝗣𝗿𝗼𝗷𝗲𝗰𝘁 iliyo pembeni ya jina la mradi. #eMrejesho_V2_SautiYetu_Maendeleo_Yetu #Turudi_na_Tuzo_Nyumbani #WSIS

Mamlaka ya Serikali Mtandao

359,257 次观看 • 1 年前