Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Qmmmmke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

87,047 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Nasisi
Nasisivor 1 Jahr

Kuna haja ya serikali kufundisha watu hii skills ya kuchapa. Huwezi mchapa mtu anachanganyinyikiwa hajui akimbie au akusogelee wote tujue kwamba Kuna wengine kwenye ugomvi huwa wanaitandika sio fair. Kama wamasai wanafundishwa tufundishwe wote

Profilbild von KIDUKU
KIDUKUvor 1 Jahr

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von WHITESPIRIT
WHITESPIRITvor 1 Jahr

Ukiona masai kagombana ujue kachokozwa tena saaana.

Profilbild von Elgaffer ๐Ÿ
Elgaffer ๐Ÿvor 1 Jahr

Ila tukirudi kwenye ukweli, hawa wamasai kutembea na hizi silaha wanahatarisha usalama wa watu wengine, just imagine umepishana nae kauli katika hali ya kujibizana then akachomoa hiyo sime, msiba tunao hatuna? Najua watu wa utamaduni mtakuja kuwatetea hapa

Profilbild von bin jarufu
bin jarufuvor 1 Jahr

Hizo fimbo za wamasai huwa special hazi vunjiki sema masai wameona amemchosha kumchapa ameona atumie sime kuokoa muda tu hataki ujinga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von The HR
The HRvor 1 Jahr

Anakuchapa na fimbo, akiona adabu haijaingia anatoa rungu, akiona somo halijaeleweka anatoa sime. Jamaa ana bahati stage ya rungu ndiyo ilikuwa inafuata. Unachapwa na silaha inayolingana na kiwango chako cha madharau ๐Ÿ˜€

Profilbild von watakuja na wataenda
watakuja na wataendavor 1 Jahr

Yero alikuwa na backup ya rungu pia๐Ÿ˜€jamaa amekula za kichwa Kila akimsogelea anasukumwa nyuma aendelee kupokea dozi

Profilbild von LIQUIDATOR
LIQUIDATORvor 1 Jahr

Kala mikwaju ya maana dadeq๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Profilbild von Rock Paper Sizzle
Rock Paper Sizzlevor 1 Jahr

๐Ÿ’ช Merica, we're taking it back. ๐Ÿ’ฏ You like Trump, you know it, time to show it. โœ… T's for Trump here:

Profilbild von Tao Te Ching
Tao Te Chingvor 1 Jahr

Hapo mwili wote wamoto. Jioni akiwa anaoga ndio ataelewa kwanini maasai navaa shuka.

Profilbild von Anthonymaximo
Anthonymaximovor 1 Jahr

Apo kwenye sime ndo pangekua patamu bora wamemuwahi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ร„hnliche Videos