正在加载视频...
视频加载失败
Quite Hands Cook Loud Dream.
31,149 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
37 条评论

Hakuna producer mwenye hut kama Taivina

Beat za amapiano hautengenezi mwanangu

Zipo😂😂😂

Nakuja niweke vocal 🤣

Kuna kitu nakusikia hapo hakipasei kuwepo.

Sijaipanga Bado

Studio Session Moja Shingapi?

@Danford_tz Sio ya Biashara hiyo studio kaka

Kwa kiswahili?

We fala nimlete msanii wangu

Heat/Hit?!!! ⛽🔥🔥🔥🔥

Nikuletee mdogo wangu kama namsikia kwenye Hilo beat

mtafute dizasta aweke maneno ya busara hapo man

Oya em tengeneza beat la arsenal kubebea ubingwa asee

Kuna kitu hakikosawa Janja

Much knows mmefika

Macho na screen... Si TV hii!!!?? Amekaa hata mita moja haifiki

✊🏿👮🏿♂️

Huu mbless wakazi afanye jambo🤌🏿

S2vina 😁

HIP HOP Ndio maisha yetu

Ngoja niuagizie kiepe

Yooh mtafute msodoki naona kabsa anakaa umoo

Moja ya kitu napenda kujifunza ni FL nikimastee hapa haenda Qbase ila sasa computer yangu ilikufa sina hata hela ya kununua nyingine😁😁 Wacha nipate mashine tuongee vyema mkuu

Vina hyo monitor model gan?

Taivina on the beat....🙌

Kaka mjengo uko wapi nije kutembea

Bila shaka lile goma la mafwele lilidundwa humu 😀😀

Kuna humming sound Moja nasikia apo inaharibu utam kidogo

kuna li-snare limoja hapo linashtukiza, uongo

Gil green

vina.mnyamaaa

Malamamaae HIPHOOP

kakaang s2kizz😂

@sheisfasy 😂

Broo can i do some vocals on that shit

Wapi tarumbeta
