Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Ramadan Kareem ☪️
28,925 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™1 год назад
Kaka hizi ftari hatualikani hii sio sawa

Farhan Kihamu Jr1 год назад
Kaka kabla ya kumi la tatu In shaa Allah

Solar Heavy1 год назад
take a trip down memory lane

samata jr1 год назад
Nilivyoona sauti hakuna tu nkajua kanuni namba 32 kifungu a kimezingatiwa

Abeid Kika1 год назад
Shekh mbona unakunywa na shoto

Farhan Kihamu Jr1 год назад
Kulia niliumia mpirani Kaka, ni kama umestuka mkono ndio maana nilichoweza ni kupokea tu kikombe kwa kulia.

C H A M P1 год назад
Kaka huyo ukishindwa kuoa mpe hata @PresenterNoah mtoto anazungumza mambo kwa vitendo.

333 SQUADRON 🛐1 год назад
Mwanetu katekwa uko akistuka anaanza kutuchambulia uongo uongo

Ankøli1 год назад
@grok hivi Farhan na Ziza hawana mahusiano ya kimapenzi hawa?

Bin Abuu1 год назад
Nye nanyi muoane Sasa Shuba mitiii🤣🤣🤣🤣

Kubwa Lao1 год назад
Ramadan huku una hawala?
Похожие видео
0:37
Sensitive content
Ramadan Kareem.
Kande Gao
13,138 просмотров • 1 год назад
1:39
Sensitive content
RAMADAN KAREEM O😂😂😂😂
ALANI
32,069 просмотров • 3 месяцев назад
