Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Loading video...
Video Failed to Load
Rita yuko Usinibabaishe 😂😂
28,539 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Katika kitu ambacho omba mungu usikutane nacho.. Ni kwenda kufanya Interview while interviewer wamegombana 😂😂😂 Hapa Ma- Judge waligombana kwa Sababu ya Ayubu 😂😂😂🙌 Mpaka Master J ikabidi awapatanishe, Salama na Madam Rita Video kwa Comments 👇

Km unangoja watu wakuambie unaweza utaishia pale mawazo yao yanakoishia. Harmonize aliambiwa hujui kuimba tokaa. Leo amefanya makubwa kwenye muziki kuliko jaji yeyote wa BBS.

Wanawake ni wajinga.

Ila salama anatabia zakike pure🤣🤣🤣 Anagugu kama ndugu wa mume🤣🤣 huu u tom boy sijui kautoa wapi?? Dada Anagugu kama nini

Nyege na usengelema wa kiki 😀

Sema salama mkavu Duuh noma sana et “ ayubu Asante kwakushiriki “

Salama choko Sana maku huyo

Yupo kwenye cku zake

Kitu kimoja nimekipenda kwa madam Ritha is yeye ndiye boss hapo ila alikubali kushuka kwa Salama not because alishindwa kukaza ila ametaka anaofanya nao kazi wawe at peace, ameonesha moyo mkubwa sana wa unyenyekevu na hili ni jambo kubwa sana, imenifunza sana.

@TweetHelperBot

Izo drama comtent akunaga Bss hapo ila ni kutapeli watu tu
Related Videos
Kumbe rais wa Yanga yuko kwa WAGANGA anatafuta ushindi wa dabi ..😂
Sports HQ
56,556 views • 1 year ago

