Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Rita yuko Usinibabaishe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

28,539 views โ€ข 1 year ago โ€ขvia X (Twitter)

11 Comments

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•1 year ago

Katika kitu ambacho omba mungu usikutane nacho.. Ni kwenda kufanya Interview while interviewer wamegombana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hapa Ma- Judge waligombana kwa Sababu ya Ayubu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ Mpaka Master J ikabidi awapatanishe, Salama na Madam Rita Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

philo's profile picture
philo1 year ago

Km unangoja watu wakuambie unaweza utaishia pale mawazo yao yanakoishia. Harmonize aliambiwa hujui kuimba tokaa. Leo amefanya makubwa kwenye muziki kuliko jaji yeyote wa BBS.

Cosmas Sulle's profile picture
Cosmas Sulle1 year ago

Wanawake ni wajinga.

Panga la shaba๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
Panga la shaba๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ1 year ago

Ila salama anatabia zakike pure๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Anagugu kama ndugu wa mume๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ huu u tom boy sijui kautoa wapi?? Dada Anagugu kama nini

TheBoss.๐Ÿ’ฐ's profile picture
TheBoss.๐Ÿ’ฐ1 year ago

Nyege na usengelema wa kiki ๐Ÿ˜€

wisdom's profile picture
wisdom1 year ago

Sema salama mkavu Duuh noma sana et โ€œ ayubu Asante kwakushiriki โ€œ

robyroden's profile picture
robyroden1 year ago

Salama choko Sana maku huyo

Faustine BM's profile picture
Faustine BM1 year ago

Yupo kwenye cku zake

๐”‡๐”ž๐”ณ๐”ถ โ„ญ๐”ฅ๐”ž๐”ฒ๐”ฉ๐”ž's profile picture
๐”‡๐”ž๐”ณ๐”ถ โ„ญ๐”ฅ๐”ž๐”ฒ๐”ฉ๐”ž1 year ago

Kitu kimoja nimekipenda kwa madam Ritha is yeye ndiye boss hapo ila alikubali kushuka kwa Salama not because alishindwa kukaza ila ametaka anaofanya nao kazi wawe at peace, ameonesha moyo mkubwa sana wa unyenyekevu na hili ni jambo kubwa sana, imenifunza sana.

MIKAELI's profile picture
MIKAELI1 year ago

@TweetHelperBot

IHE's profile picture
IHE1 year ago

Izo drama comtent akunaga Bss hapo ila ni kutapeli watu tu

Related Videos