Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Loading video...
Video Failed to Load
ROAD TO 24.01.2024
65,708 views • 2 years ago •via X (Twitter)
10 Comments

😂😂😂😂Arusha home sweet home

Script kama hizo anatakiwa aongee mmoja mmoja, mnakua mmejipanga kabisa ili kila mmoja asikike vizuri

Pamoja, twende kwenye maandamano 24/1 ndiyo wito maalum. Achana ba kelele nyingine, hazina maana.

Ila martin ukitaka kujua watu wanaongea kwa ujasiri sababu siku bado, huku hofu ikiwatawala, angalia kwenye hii clip huyo dada aliye kushoto baadaye akaja kulia kwako. Yaani anaongea huku anageuka geuka kuchukua utayari 😃😂🤣!.

Yala yala simba na zombie wa MAZOMBIE 🚶

Mheshimiwa MMM, najua kabsa hua unaongea fact Sana na hua najifunza vitu vingi kupitia tweet zako. Kwa maoni yangu naomba uandae hoja kuntu ukafanye mdahalo na Kama wanavyo omba/ shauri . Mm najua kbsa hoja zako zitazua na kuonesha ukweli wa mamb na hapo watz watjua wpi panavuja

Ako ka dada kushoto kaoga hakawez andamana 😁😁😁

Hizi ni kelele tu na hiyo tarehe 24 hamtaweza kuaandamana

Safi

wanaongea huku wanajianda kukimbia ona huyo manzi muwe wajasili
