Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ruge alisemaje kwani.!??
72,871 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

NYANI HAONI KUNDULE MKUU

Tunapoelekea Tutawaandikia Barua TFF watutafutie Mtani mwingine wa kupambana nae .. Huyu wa saiv kashakuwa Mlenda

Priva unataka kusemaje apo

KWAHIO unataka kusemaje ? Kwamba kama hio ni faulo ndio inahalalisha na zile mbili zisiwe ? Ulimaliza Law School ukabaki na Ujinga kichwani ??

Ogopa privanology

Ogopa mungu na Technology

@Mzeewajambia anakuambia Hamza hakua beki wa mwisho 😁😁😁

Hiii kuanzia digala la mchongo na mtu mzima fulani tuliyemtambulisha kwey soka akapata umaarufu wanajifanya hawaoni wape na ile ya bocca aliyovutwa kwenye box alafu foul inageuka kwetu wape na ile ya mpira aliyorudishiwa camara kachambuliwa kakwatua ...

Kaka? 😂😂😂

Kwa kifup kayoko aliharbu mech
Benzer Videolar
Sensitive content
Eti wanaume mnawezaje??? Kwani ninyi hamchoki?? 🙌🙌🙌🙌
Ms Bee🌹
153,903 görüntüleme • 1 yıl önce
