Loading video...
Video Failed to Load
Safari hii ilianza 2016
26,591 views • 8 months ago •via X (Twitter)
17 Comments

Mheshimiwa, tunahitaji awards kwa wale vijana wa BBT! Naamini now wanasafirisha mazao kwenda masoko ya kimataifa.

Mheshimiwa Bashe unalolifanya Nzega ni jambo la utu sana,mimi si mkazi wa nzega lakini nimepita mapito hayo najua maumimivu ya mwanafunzi mwenye kiu na nia lakini kwa watoto ambao wazazi wao hawana uwezo.Napiga goti naomba kwa mungu kwa dini yangu ya kisabato Mungu akubariki

BBT iko wapi Mh?

Kafirwe

BBT

Hongera

Mh habari ya kazi.. Mh Hussein bashe naomba uje kunitembelea kwenye kazi yangu ya kilimo cha kitunguu, Nakupenda tu Natamani uje tupige stori tu tukiwa shambani kwani umenitoa mbali kwenye kilimo.

Nikikumbuka zile ndege mlinunua wizara 😂😂😂😂. Kweli hii nchi mmeila kweli kweli wewe msomali

Mfumo hautaki wenye akili kubwa

Ni kitu adhimu na cha thaman sana kuona kiongonzi kaacha legacy eneo alilokuwa akitawala Kiukwel msomali mm Huwa na kuelewa sana tangu uliookuwa wazir mpaka Sasa Pinga kazi

Rusha clip atakukumbuka kwenye uteuzi

Hongera sana Mh mbuge hili ni jambo jema la kuigwa

Hongera sana Mheshimiwa. Hii ni hatua kubwa na muhimu.

BBT iko wapi mh. Bashe binafsi nilikuandikia waraka mkubwa kabisa sababu sina profile kubwa ulinipuuza rudi ukajikumbushe niliyokwambia..

BBT IMEISHIA WAPI WE MSOMALI???

Hongera SANA mh Bashe.....mungu akuweke sana kwakweli

BBT iliishia wapi

