Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

41,774 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von LizyB
LizyBvor 2 Jahren

100% uzembe wa drivers uzembe wa trafic na uzembe wa abiria umeleta maafa. Nilisema na nitarudia kusema safari za usiku bado sana nchi yangu huko Tz. Mtakufa nyie mno. Madereva wenye ulimbuken wa kushindana barabaran watawatanguliza akhera kabla ya mda

Profilbild von Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
Olaigwanani-Olengurumwa, Advvor 2 Jahren

Tena sana

Profilbild von 🥸..
🥸..vor 2 Jahren

Allys na safari za Usiku.. ipo siku taifa litaomboleza kwa uchungu sana. Save this tweet.

Profilbild von Wakojaco
Wakojacovor 2 Jahren

Karibia Safari nzima alikuwa amelala, na kama basi imetoka Dar saa mbili kufika Dodoma saa nane ni reasonable kabisa wala hawakuwa kwenye mwendo kasi... Tujalibu kuchunguza kwa fact kwa kukusanya taarifa sahii. Hata huyu ametupa taarifa sahii ya muda wa basi kufika dom from Dar.

Profilbild von V E N N A📸
V E N N A📸vor 2 Jahren

Uzembe ni uzembe tu hata iwe mchana

Profilbild von EAGLE master
EAGLE mastervor 2 Jahren

wakati mwingine ukiangalia hata ajari za pikipiki abiria hawezi mzuia bodaboda kuendesha kwa tahadhiri , tusiwabebeshe mzigo mkubwa traffic kuzuia ajari tuanze sisi abiria , tukiona haelewi dreva Kuna namba za kutoa taarifa lkn taarifa hazitolewi, tubadilike , uciku mchana si shd

Profilbild von Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
Olaigwanani-Olengurumwa, Advvor 2 Jahren

Abiria tunachangia uzembe wa madereka

Profilbild von Addy kyakumwanya
Addy kyakumwanyavor 2 Jahren

Watanzania wengi hawana jeuri ya kumkemea dereva apunguze mwendo🙄. Wanachofanya wao huwa wanamuomba mungu🤔 wafike salama. Huyo ndo mswahili katika uswahili wake hadi kwenye uhai wake, mwisho wanasema mapenzi ya mungu🤐

Profilbild von Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jrvor 2 Jahren

Report ya Latra mwendo mkubwa wa safari ilikiwa ni Speed ya 86km/hr.,huo mwendo mkali unaozungumzwa hapa ni ngapi.?☹️

Profilbild von Gery
Geryvor 2 Jahren

@officialDrHerry Kwani na ile ya ester luxury sijui ilikua usiku?

Ähnliche Videos