Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Samia ameleta njaa
76,846 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)
11 Kommentare

Msabaha na wewe umepost kabisa hiki? Njaa ipi iliyopo Tanzania ? Hizi ni aibu

Nakwambia anaweza shtakiwa kwa kumuongelea vibaya mama ila wafiraji aaah

Munishi mchungaji nakumbuka ulikuwa unalia sana jumapili pale nyumbani kwa bimkubwa kuanzia asubuh mpaka mchana ni malebo tu Leo umetoka hadharani kutetea wanyonge ✍️✍️

Mzee kanyooka vibaya 😅🙌🏽

Huyu n mtumishi WA Mungu Munishi 💪

Watu watashindaje na wananjaa

Give your beautiful wife a gift she can cherish forever.

Utasikia wasiojulikana wamempiga tukio mzee wa watu 🙌

Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta, ila watoto wake wanaitazama hii video na baba yao wanamuona amewafanya kama "binti wa yombo" wanaficha sura zao kwa fedhea

Munishi ni jambazi mstaafu ambaye alipokimbia kesi zake Arusha akajigeuza mwanamuziki wa gospel.

Huyu kumbe mpuuz hivi,yani kulipa madeni ambayo nchi inakopa ni kufurahisha wazungu?
