Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Sasa watu wakojoe wapi jamani ๐Ÿ˜‚๐Ÿซต

46,428 views โ€ข 1 day ago โ€ขvia X (Twitter)

19 Comments

Swahili RealTalk๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ's profile picture
Swahili RealTalk๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ1 day ago

Nikweli au? maana usije ukawa mtego watu tukauza magari na tukahamia Mbagala

BARADHULI's profile picture
BARADHULI1 day ago

haha wewe jau ๐Ÿ˜‚

The Manywele's profile picture
The Manywele1 day ago

Wenetu wa mbagala hawataki kurudi home na deni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

KIJANA's profile picture
KIJANA1 day ago

Achana na hizo za mbagala, kuna zile za FIRE-KIMARA. Mimi hua nasubiri pisi za CBE na DIT zipande ndio nikalie chuma.ukifika pale jangwani barabara mbovu mixer vibration yooohhhhh๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

BARADHULI's profile picture
BARADHULI1 day ago

Wewe hua una kaaa mbele kwenye vikao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

macheda's profile picture
macheda1 day ago

Madunga dunga wengi wanatoka mikoa ya kusini maskani yao ni mbagala usipohama dada huko utalowa sana

BARADHULI's profile picture
BARADHULI1 day ago

Wanakula sana korosho ๐Ÿ˜‚

MIKEKA DAILY's profile picture
MIKEKA DAILY1 day ago

Michezo yangu ๐Ÿ˜‚

Popobawa's profile picture
Popobawa1 day ago

Punguza sauti basi๐Ÿ˜‚

BARADHULI's profile picture
BARADHULI1 day ago

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Trap Queen's profile picture
Trap Queen1 day ago

Kuna wakimara pia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

kichefuchefuu's profile picture
kichefuchefuu1 day ago

Acha uchoyo

M K's profile picture
M K1 day ago

Na ukiwaambia waanze kukaa wao kati hawatak tena atakuchamba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ1 day ago

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ™Œ

Maziku Andrew's profile picture
Maziku Andrew1 day ago

Sasa serekali inahusika nini hapo kwa wewe kukojolewa๐Ÿ˜‚

Chidy_cadett's profile picture
Chidy_cadett1 day ago

Sasa si mkae nyuma au mkod boda yako

Kimambo Khan's profile picture
Kimambo Khan16 hours ago

Ahame dar kama vipi

JB, Smoove's profile picture
JB, Smoove17 hours ago

Sasa shida yako nini kwani iliingia ndani?

D.M.E.S's profile picture
D.M.E.S16 hours ago

Nunuen zenu manina

Related Videos