Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Script haikukaririwa vizuri eeh. Director hakutoa maelezo vizuri studio. Amefeli. Mnatuchanganya sana waombolezaji. Tunaelewa lakini. Acheni hii tabia. Anyways, tuliosikia neno “FUTA” tukutane Mikocheni, msibani usiku huu.

254,745 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Faida Magiyula 𝕏
Faida Magiyula 𝕏2 лет назад

Kila jambo martin mnataka kulibeba kama agenda..!

Фото профиля Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese2 лет назад

Unataka tubebe agenda za matako yako?

Фото профиля Saint 🧚
Saint 🧚2 лет назад

Futaa, au hajafariki!?

Фото профиля Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese2 лет назад

Umeshangazwa? Umeshangazwa na nini?

Фото профиля Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese2 лет назад

Kuteleza kufanya nini? Nani ameteleza? Ameteleza katika nini? Ameangukia wapi? Mambo ya kibinadamu ni kama yapi? Unazungumzia nini?

Фото профиля Abdulkarim Kiembe
Abdulkarim Kiembe2 лет назад

Hata inshu ndogo kama hiyo ya kukosea kibadam ni deal ya kisiasa sasa aiseee kazi kweli kweli

Фото профиля Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese2 лет назад

Amekosea nini? Hebu tuelee makosa yake…

Фото профиля Makere Jr
Makere Jr2 лет назад

Huu ndo msiba mkubwa wa halaiki unaoenda kutokea soon! Wachache wataelewa

Фото профиля issack lucas
issack lucas2 лет назад

Apumzike kwa Amani.Mnaweza kumlaumu MMM kwa lugha kali but mnatakiwa kuangalia ikulu kama taasisi ndiyo mtaona mantiki yake.Hii siyo ngojera ni taarifa iliotakiwa iandaliwe na watu wengi.Kwanini iwe na kosa kama hili?

Фото профиля Boethius
Boethius2 лет назад

Huu ni upuuzi, haiwezekani taarifa za ikulu Ziwe hivi bila kuhakikiwa. Hiyo tarehe mbili ya mazishi ndo ilikosewa, na inakuwaje taarifa za ikulu kwenda public Tena ikisomwa na Rais kabisa ikawa haijahakikiwa? Huu ni upuuzi , hatuko serious hivi, tunaweza kuwa serious Katika lipi.

Похожие видео