Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Selingkuhann pabrikk

61,078 просмотров • 14 дней назад •via X (Twitter)

Комментарии: 0

Нет доступных комментариев

Здесь появятся комментарии из оригинального поста

Похожие видео

VIDEO: Mwanasiasa Peter Daffi amesema maandamano yasiyo na kibali hayawezi kuruhusiwa na serikali, akisisitiza kuwa hatua hiyo inaweza kuifanya dunia kushangaa kwa nini Watanzania wanashindwa kukaa, kuzungumza na kukubaliana kama taifa. Akizungumza na wanahabari leo Desemba 05, 2025 jijini Dodoma, Daffi amesema waliotaka kutoa maoni yao tayari wametengewa nafasi kupitia Tume iliyoanzishwa na Rais, na hivyo ni muhimu wananchi kuisikiliza tume hiyo na kuwasilisha mapendekezo yao kwa njia iliyowekwa. “Mlijaribu Oktoba 29, na kama mlikuwa mnataka kutuma maoni yenu, Rais ameunda tume. Ile tume sasa tuiisikilize ili itekeleze yale tunayodhania na tunayotamani yafanyike. Maana hata mkihamasisha kufanya vurugu tarehe 09 Desemba mnayoisema, baada ya hapo mnahitaji nini?” amehoji. Amesema hadi sasa hakuna kibali cha maandamano, hivyo juhudi zozote za kuhamasisha vurugu haziwezi kukubalika kwa kuwa vinahatarisha usalama wa watu na mali. “Vyombo vya serikali vyenye mamlaka ya kulinda raia na mali zao vitaendelea kufanya kazi. Serikali na vyombo vyake haviwezi kuruhusu maandamano bila kibali. Mnataka turuhusu tena hali ya kushangaza duniani kwamba tumesindwa kukaa na kuzungumza na kukubaliana?” amesema. Daffi ameongeza kuwa Tume iliyoanzishwa na Rais ndiyo njia sahihi ya kusikiliza maoni ya wananchi, na kwamba ikifika katika maeneo mbalimbali wananchi wanapaswa kutoa maoni yao ili serikali iweze kutekeleza wanayoyahitaji.

Jambo TV

17,688 просмотров • 10 месяцев назад