Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

"Serikali ya Biden waliniambia nijenge data centre ya microsoft, data centre moja inahitaji 1000 MW na Kenya kuna 3000 MW; hapo ndio nikajua kuna shida na kwa hiyo tunahitaji tuwe na over 10,000 MW." ~ President Ruto

152,799 Aufrufe • vor 4 Monaten •via X (Twitter)

0 Kommentare

Keine Kommentare verfügbar

Kommentare vom Original-Post werden hier angezeigt

Ähnliche Videos

Kwa msiojua anachosema huyu mwana wa wana mtandao — Ikuluu imeomba kutumia Trilion 1.5 — Fedha kwa matumizi ya kawaida trilioni moja hii ni kwa ajili ya ulinzi , TISS NA SAFARI za Raisi pamoja na nguo na chai za Ikulu hayo ndio uwa matumizi ya kawaida , mishahara ya watu wa ikulu na TISS, hii pesa yote haikaguliwi na CAG ni ya Iddi Amin mama kugawana na washikaji wake — Pia inatumika kwenye matukio na sherehe za Ikulu iko kwenye hiyo trilion pia haikaguliwi na CAG kwa kifupi hiyo Trilion ni pesa ya mfukoni ya Samia kwa maana nyingine hiyo Trillion moja ndio sadaka tumetoa kwa maisha ya Samia Ikulu na wenzake — Wameomba pia billion 500 kwa matumizi ya maendeleo, Hii inakwenda kwenye ukarabati wa Ikulu , kununua mapazia , magari , kununua siraha za TISS na uniform, kujenga Ikulu au chochote hapo ikulu , kununu furniture za ndani , kununua mapambo ya Ikulu Hii pia haikaguliwi na CAG uwezi thibitisha imetumikaje Fedha yote hii inazidi matumizi ya wilaya ya Afya , inadizi matumizi ya bodi ya mikopo kwa wanafunzi nchi nzima Inazidi mbali bajeti ya kilimo nchi nzima , inalingana na matumizi ya Wizara ya ujenzi inakaribiana na bajeti ya nchi nzima ya Jeshi lote Inazidi matumizi ya polisi , inazidi bajeti ya maji nchi nzima Ndio maana tunataka katiba mpya Hatuitaji trilioni 1.5 isiyokaguliwa kwa usawa huu, ambayo ni pelemende kwa mtu mmoja Machawa wote wanalipwa na hii bajeti Hii ni bajeti pekee utekelezwa kwa 100% yaani pesa yote inapatikana na kupelekwa IKULU , hizo bajeti nyingine uwa zinatekelezwa kwa 40% or chini kuna ambazo uwa wanasoma lakini mwisho wa siku wanapeleka pesa 35% na ndio maana unasikia kama barabara wanasema Barabara moja hata kwa miaka 4 sababu bajeti haikutekelezwa kwa 100% Lakini hii ya IKULU uwa wanapelekewa pesa kwenye malori kutoka BoT kisha wanaanza tumia watakavyo Hakuna pesa ya bure dunia kama hii, kuna wakati Kikwete akiwa Raisi Ikulu ilinunua mapazi ya million 300 ikavuja na kuleta maneno Kuna hizo saa na pete za millioni 400 anazofaa Samia zinatoka kwenye hii bajeti Kuna nguo hizo mnaona anavaa za mabilioni zinatoka kwenye hii bajeti Kwa ukubwa wa TISS na kwa namna ambayo tayari imeshawekezwa hata kutumia billion 500 ni nyingi sana Hii ndio pesa mara furani Samia amekwenda na wasanii Korea wakafanyia shopping mabegi mawili yamejaa kila msanii na kupewa pesa ndefu Ndio pesa pia ilitumika marekani kufunga Hotel mbili zimejaa machawa na wasanii wakiwemo waandishi wa habari ikaleta gumzo kubwa

Think Different

28,497 Aufrufe • vor 4 Monaten

Tatizo la Chande na CCM wenzake wanaona kama Watanzania wote ni watoto wadogo hawajakomaa akili wala hawana maarifa - Tume yake kuandika report kwa kiingereza hii inakuwa suala la kusherewesha Muda? Kwamba wanataka kusema wameandika kwa kiswahili kisha waje kuandika kwa kiingereza na kwamba team ya kiswahili tu ndio ilikuwepo sasa wanaweka Team ya Kiingereza kufanya tafsiri ? Hiyo report yake ina ukubwa gani mpaka Team ya Kiingereza iwe inaongezewa muda kila mara ? - Chande anasema inatakiwa toka na maoni ya kitaalamu ? Maoni ya kitaalamu yakuhusu nini na Tume yake haikuundwa kufanya uchunguzi wowote wa kitaalamu? Si waliambiwa wakaangalia nini kilitokea na wameongea na wananchi wameambiwa yale yaliyotokea, hapo wanataka utaalamu wa kuhusu nini? Wazo la maoni ya kitalaamu lilianza lini? Kwa nini hao wataalamu hawakuwa sehemu ya tume ili wasikiliza wananchi moja kwa moja mpaka waje kusimuliwa na Chande au kusoma report yake ili watoe maoni ya kitaalamu? Wataalamu wlaitakiwa kuwa kwenye hiyo tume mapema kabisa ili watengeneze report yao iunganishwe pamoja bila gap hizo anaongea Chande - Chande anasema serikali imeongea muda wa Tume kwa siku 42 kisha siku 21, kwa maana nyingine serikali ina hiyo report ikaona kwamba mambo yaboreshwe ( edit) na lugha iongezwe ya kiingereza, Chande hakusema kwamba Tume yake ndio iliyoomba muda amesema ni serikali ndio imeongeza, Kumbukeni Chande ni Jaji tena JAJI MKUU wa muda mrefu, anaposema maneno yake lazima ni ya mwelekeo amepima hicho anasema, awezi sema serikali imeongeza muda wakati ni tume ndio iliyoomba, Chande anachojaribu kusema kuongeza muda na Lugha ni suala la Samia na serikali yake Chande acha ubabaishaji, uwezi safisha hii Damu na watanzania tutawaelimisha vya kutosha, Tume yako Muda uliishana April 3, lakini wakakurupuka kuuongezea Muda April 4 hapo tume ilishakufa, cha Pili hakuna tangazo kwa gazeti lolote la serikali kuongezeka kwa zile siku 42 za mwanzo, siku zote ni Ikulu imekuwa ikitoa taarifa, mmejichanganya sana. Kama ni kuomba kuongezewa Muda barua ya Tume kwenda serikalini kuomba kuongezewa muda iko wapi? Hiyo barua ilitumwa lini na kapokelewa lini? Nani aliona kwamba siku 42 zinatosha kisha baadaye zikapungua na kutoa tena siku 21 Kama Tume hii haiwezi jua muda sahihi wa kumaliza kazi yao, yaani kila siku wanaongeza muda kilevilevi tu wanabahatisha, wanaweza vipi kuwa na uwezo wa kuchakata taarifa na kutoa taarifa ya kitaalamu? Unaongeza vipi siku 42 kisha 21 ukasema hapo kuna tume inaongozwa na watu wanaojielewa ? kama scope ya kazi imewashinda kupima , kwa nini wlaikubali miezi 3 toka mwanzo, walipanga vipi kuchukua maoni na nini kimetokea mpaka mambo yameharibika Hii ongeza ongeza muda ndio inaibua suala la msingi kabisa kwamba hiyo report yao inachezewa, na inachelewa kwa malengo ya kulete uharifu. Kutokana na hii Tume ya Chande kuandaa mazingira ya serikali batili kupata msingi wa kuja kuonea watu na kuvunja haki za watu ndio maana tunajadili na kuamsha watanzania, hili kwenye record zao wajue kwamba aliyeleta hayo maafa hapo baadaye ni Chande na Tume yake. Hawezi kukaa kimya kuwaambia watu kujiandaa na uovu unaokuja mbele yao hata kama hii tume haina uhalali, shida ni kwamba Tume hii ni msingi wa uovu mkubwa dhidi ya wananchi unaopangwa na Samia, wananchi wanapokaribiwa na hali kama hii ya uovu lazima waambiwe ili wajiandaa namna ya kukabiriana na hiyo hali

Think Different

10,379 Aufrufe • vor 4 Monaten