Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Sheikh ameghazabika watu hawatoi sadaka
42,287 görüntüleme • 6 gün önce •via X (Twitter)
43 Yorum

Hawa jamaa kila siku wanalalamika kuhusu Sadaka ila wanavyojinasibu kua Dini Yao ni ya kweli utashangaa sasa kama dini yenu ya kweli kwanini watu hawataki kuchangia sadaka kama wakristo wanavyofanya ?

😂😂😂

Sasa kwanin asiwe mchungaji

😂😂

Hiyo mana hao watu hawaipendi dini Yao ndo mana hawataki kuisapoti. Pili, huo WIMBO aliotolea Mfano ni wa katoliki ambako utaratibu wa padre kukabidhiwa sadaka au kutumia sadaka anavyojisikik. Mapadre wangekua wanatumia wasadaka watakavyo kama unavyosema, basi kanisa lisingekuwa

wanateseka na mengi kwa wakristo aiseee,yaan uchokozi wa wazi kabisa coz nyimbo za roman catholic na kwa dhehebu hilo padri hana mamlaka na sadaka kabisa

Hawawez kuongea mambo yanayo wahusu mpka wakristo wausike

Inabidi muwe specific ni makanisa gani ya kikristo ambayo waumini hawahoji matumizi ya sadaka. Makanisa wengine wakristo no wakali😁😁

😆😆😆

Mwambie sheikh afanye kazi

Sisi tulishaacha kutoa misikitini maana.....wanaishabikia serikali ya kiuaji....watalalamika sana

Alikuwa na lengo zuri ila uwasilishaji wake sio sawa. Huo wimbo wa toa ndugu ni wetu Wakatoliki na tunahudimiaa na Nchungaji, pili Padre hakuondolei dhambi, tatu Padre hahusiki na sadaka. Nilitaka kuweka rekodi sawa, kuhusu kutoa upande wa pili WAHUSIKA wanasemaje?

Lengo lake niku mock dini yetu ya catholic wala hana nia nzuri hapo

Comrade video zingine achana nazo maana ndani yake Kuna kudhalilisha dini ingine

Sawasawa 🤝

Asante pia

Pia mwambishie kama anapenda hela si abidili dini na kua mkristo? 🤣🤣😀 njaaa Kali

Mswaki tena?!😂 basi poa

😂😂😂😂

Yeye anatoa au yeye hataki swawabu

Kitabu kimekataza lakini kuzungumzia mambo ambayo huna elimu nayo

Kuna namna tunapigwa kule upande wa pili

🤣🤣🤣

😂😂

Sawa bana sheikh

A bit exaggeration but makes sense

Mbona wanawaweka wenzao midomoni sana? wachangie ibada zao bila kutajataja wengine.

😂😂😂

🤣🤣🤣🤣 Hadi ninemkumbuka mwanangu mmoja anaitwa Ayubu Mnyani anakwambia sadaka msikitini kwao Hadi Aibu 😂😂

Bila diamond Ali haendagi mjini sijui mnanielewa wakuu

😂😂

Sheikh akitaka tutoe sasada Kwa moyo, atuelezee vizuri ni kwanini mtu ambaye tunaambiwa ni mfano bora katika dini alioa mtoto wa miaka 6 na bado akaoa tena mtalaka wa mtoto wake. Sio kukejeli utoaji wa dini zengine.

Hajui kitu anafurahisha genge

Uyo shekh hapunguze wenge. Ukristo umejengwa kwenye utoaji, Yohana 3:16.

Naaam

😄😂

😀😀😀

Sheikh anajicntradict; anaponda wakristo kutoa sadaka za mamilioni huku naye akitaka waislamu watoe. Hoja yake iko wapi?

Kasema kweli sema ndio hvyo

😂😂

Kwamba Hela Ya Mswaki Ya Mchungaji Kwa Kuwasamehe Madhambi Ila Hawa Jamaa

Shehe afanye kazi tu.

😂😂😂

