Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

44,312 views • 9 days ago •via X (Twitter)

36 Comments

Master of whispers 🤗's profile picture
Master of whispers 🤗9 days ago

Basi asimame wima kwa nn amepinda

katunzi's profile picture
katunzi9 days ago

😅😅

NAS's profile picture
NAS9 days ago

Kwahiyo alisema atakinukisha mkamweka ndani miezi sita kabla na mkaruhusu kinuke? Alisema atazuia uchaguzi akazuia akiwa Ukonga na mama enu akapita kwa asilimia 98? Na kuna watu wanamuunga mkono huyu ng'ombe

Ras,nchimbi's profile picture
Ras,nchimbi9 days ago

Huyu wanasema Centre bolt ilishakatika🤣🤣

katunzi's profile picture
katunzi9 days ago

Ndo mana anatembea beni

chrisostom's profile picture
chrisostom9 days ago

uyu na nabii titi utofauti ni mdogo sana

Bongozozo!!!'s profile picture
Bongozozo!!!9 days ago

...Wazee!!....huyu sio bahati mbaya ....huyu wameshapanga na hayo ndio maamuzi yamajaji..........Sisi tunajua hiyo ndio mipango yenu na Matajir zako........Lakini tunawaapia Lissu atakua Rais Kwa nguvu ya Uma hatutofata katiba,,Nyie wabezeni watu tu

Haki-Huleta-Amani's profile picture
Haki-Huleta-Amani9 days ago

Samia ni wa kwanza hapo keshajitaja jina mwenyewe kukiru na hakuna cha huruma anyongwe tu kubababaaake

Marcus's profile picture
Marcus9 days ago

Kwahiyo kama alisimamisha uchaguzi, UHALALI WA KUAPISHANA MLIUPATIA WAPI?

Peppatz's profile picture
Peppatz9 days ago

Kwahiyo unakubali uchaguzi hakufanyika lakini Rais na Wabunge walipatikana? na ulikubali kilinuka kwa harufu inayonukia? Sasa umeamua kuiingilia mahakama kuwa Lissu afungwe it means umeshajua uamuzi tayari??? Ndio maana hata ueleweki kama unaelekea kushoto au kulia. Kumbe Senge

Fb-Optimisit's profile picture
Fb-Optimisit9 days ago

Kuma nyoko

katunzi's profile picture
katunzi9 days ago

Polepole kaka

Fb-Optimisit's profile picture
Fb-Optimisit9 days ago

Nnimesikia hasira Sana mamae

Emmy's profile picture
Emmy9 days ago

Akili mpakato na sisi tunakwambia usitutishe tutamuomba Mungu wewe ufee na utakufa kabla Lissu ajafungwa

Móshi's profile picture
Móshi9 days ago

Huwa nikisema dini ni utapeli namaanisha watu kama hawa..mpuuzi sana huyu

Haki-Huleta-Amani's profile picture
Haki-Huleta-Amani9 days ago

Wewe uliyeua watu na chui mbwa mwitu oct 29 ndio utufundishe cha kufanya. Tutakuwa matahairi kweli

RANGO TZ's profile picture
RANGO TZ9 days ago

Halafu siku lissu anashika dola anaanza kujiliza liza

VOICE OF JONAH FROM NINAWI's profile picture
VOICE OF JONAH FROM NINAWI9 days ago

THIS IS A PROJECT NA HAWA NI MADALALI MWENYE MRADI YUPO ANATAFUTA FAIDA NIWAMBIENI NI HATARI SANA MAHAJAMA KUU KUIFANYA KUWA BARAZA LA KATA NI HATARI SANA HII NI HELL PROJECT TO THE COUNTRY😭

Francisco William's profile picture
Francisco William9 days ago

Kwa hiyo akifungwa itakusaidia nini?? Kuna kitu fulani juu ya Lissu ambacho wote hatukijui hata pengine mwenyewe hakifahamu ila Lissu ni mshindi

Mswazi Smart's profile picture
Mswazi Smart9 days ago

kwani huyu ni nani anahistoria gani sikuhizi mtu akiweza tu kusema anasema tu hii nchi tunapimana vipi mtu kukaaa mbele na kutuzungumzia au kuzungumzia makundi mbali mbali?! Tunaenda wapi aisee aaaaah

My Name's profile picture
My Name9 days ago

Huyu angepigwa na kitu kingine akafa ingekuwa nafuu kwa jamii

Gudjow1's profile picture
Gudjow19 days ago

Huyu jamaa ni kichaa!Rais wetu alipata 98% ya kura zote kwenye uchaguzi 2025 kwanini aseme Lissu alisimamisha uchaguzi?

Allan Mphuru's profile picture
Allan Mphuru9 days ago

Damu ya Ustaadhi Majini itakulilia muda wote unaolipwa kwa damu hiyo

kiungo mshambuliaji's profile picture
kiungo mshambuliaji9 days ago

Huyu ni msenge tu.

Mr:Rasta🚬🇯🇲's profile picture
Mr:Rasta🚬🇯🇲9 days ago

Utofauti wa huyu na nabii tito havai nguo nyeupe vingne vyote swadakta

Kirahi's profile picture
Kirahi9 days ago

Kuna wakati nahisi Mungu amekua kama kifaa flani cha kila mtu kutumia katika ujinga wake.

Righteousness & Justice kisses's profile picture
Righteousness & Justice kisses9 days ago

Hivi huyu mtu kumbe ni mshenzi namna hii 🚮🚮🚮

Nzengeli's sister 💛💚's profile picture
Nzengeli's sister 💛💚9 days ago

Ashughulikie kusimama wima kwanza!

Odoyo's profile picture
Odoyo9 days ago

Atakufa Mwaipopo siku si nyingi, naye atamwacha Lisu akiishi.

A man 86's profile picture
A man 869 days ago

Mmmh!

George Munic Jr's profile picture
George Munic Jr9 days ago

Hapa hakuna shekhe zaidi sana ni tapeli kwanza hakuna shekhe ambaye anatokea mbeya eti Shekhe Mwaipopo huyu ni shekhe au muhuni mmoja wako bong'oa nikusweke

Shabiki Mkuu wa GenZ+'s profile picture
Shabiki Mkuu wa GenZ+9 days ago

Tunatayarishwa sana kwa hukumu ya Lissu. Pay attention kauli zao. 😟

chriss the leo's profile picture
chriss the leo9 days ago

Kama alisimamisha uchaguzi 98% imetokea wap??

FOT's profile picture
FOT9 days ago

Uchaguzi si ulikuepo na mshindi alishinda kwa 97% ?

Hekmlik's profile picture
Hekmlik9 days ago

Huyu sio sheikh, Hana cheti chochote chakiithibati, hana hata thanawi, nivile wanamuita sheikh tu.

Nameless's profile picture
Nameless9 days ago

Mwisho wa siku kunakujuta kwa kauli za mpito

Related Videos

Mhadhiri wa Kiislamu na Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania, Sheikh Saidi Mwaipopo, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, kubadilisha mwelekeo wa siasa zake kwa kuacha siasa za kupambana na Serikali, akisema upinzani wa aina hiyo unaweza kuleta madhara zaidi kwa anayefanya hivyo. Sheikh Mwaipopo amesema Heche anapaswa kuelewa kuwa kupigana au kupingana na Serikali ni sawa na “kupigana na Mlima Kilimanjaro”, akisisitiza kuwa ni muhimu kwa viongozi wa kisiasa kuweka mbele maslahi ya taifa, mshikamano na utulivu. “Nimuombe sana John Heche abadilishe siasa zake. Kupigana ama kupingana na Serikali ni kama kupigana na Mlima Kilimanjaro, utaumia mwenyewe,” amesema Sheikh Mwaipopo. Aidha, ameitaka CHADEMA kujifunza kutoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, akisema amekuwa akionesha mfano wa uzalendo, ukweli na uadilifu katika masuala yanayohusu nchi. Amesema CHADEMA inapaswa kuiga mfano huo kwa kuweka mbele maslahi mapana ya Tanzania badala ya kujikita katika misuguano na Serikali. Katika hatua nyingine, Sheikh Mwaipopo amewataka wataalamu wa saikolojia kumsaidia Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akieleza kuwa haoni mantiki ya Lissu kumtaja Rais Samia Suluhu Hassan kama shahidi katika kesi yake. “Watu wa saikolojia pia msaidieni Tundu Lissu. Haiwezekani ukamuita Rais Samia Suluhu Hassan kuwa shahidi wako. Kwanini? Kwa maslahi gani?” amehoji. Sheikh Mwaipopo pia amesisitiza umuhimu wa Watanzania kudumisha mshikamano na kuepuka migongano, akisema wananchi wanapaswa kuiunga mkono Serikali katika kutekeleza majukumu yake kwa maslahi ya taifa. Amesema kwa mtazamo wake, kwa Waislamu, kuiunga mkono Serikali katika mambo yenye maslahi kwa taifa ni sehemu ya ibada, huku akisisitiza kuwa dini inapaswa kwenda sambamba na uzalendo. “Kuiunga mkono Serikali ni sehemu ya ibada kwetu Waislamu. Dini bila uzalendo ni uhuni,” amesema. Sheikh Mwaipopo, ambaye pia ni mmiliki wa vyombo vya habari nchini, amesisitiza kuwa Tanzania inahitaji viongozi wanaojenga umoja na utulivu badala ya kuongeza migongano ya kisiasa.

Royal Media

18,380 views • 1 month ago

‼️HUYU NDO SHEIKH MWAIPOPO AMBAE NDULI IDD AMIN MAMA ANAMTUMIA KUSHAMBULIA NA KUTISHIA WAKOSOAJI WAKE‼️ Serikali haram ya Nduli Idd Amin inamlipa huyu tapeli Sheikh Mwaipopo mamilioni ya pesa ili ashambulie na kutishia Viongozi wa dinj (Wakristo hasa Roman Catholic) Wakosoaji wa Nduli Idd Amin Mama pamoja na Viongozi wa CHADEMA. Huyu Mwaipopo ambae wanamtumia ni mtu mwenye historia ya ujambazi na utapeli kwa miaka mingi ndo maana ilikuwa rahisi kwake kukubali kutumika kufanya haya maujinga ambayo anafanya. Mwaka 2022 huyu Sheikh Mwaipopo alikamatwa nchini Kenya kwasababu ya tuhuma za utapeli kwa kujifanya ni mtaalam wa kusomea watu visomo, ushaidi sikiliza hii clip ambayo nimeambatanisha kwenye post hii. Iko hivi, Mwaipopo alikuwa akizunguka na Sheikh Sharifa majini kwenye issue za Sharifu kutoa tiba na kusomea watu visomo badae wakazinguana so na yeye akaanza kujifanya ni mtaalum wa kutoa tiba za kusaidia watu ambao wanasumbuliwa na majini hapo ndipo alikutana na wanawake watatu kutoka nchini Kenya ambao walikuwa wakihitaji tiba, akawambia wampatie pesa za Kenya shilingi milioni 1.3 ili awaze kuwasaidia. Hao wadada kwasababu waliamini kwamba Mwaipopo ni Sheikh kweli wakatuma hiyo pesa yote baada ya kutuma Mwaipopo aliwablock, hao wadada walienda kureport kituo cha Polisi Shauri moyo Nairobi ambapo kwa kushirikiana na Polisi waliweka mtego, walitafuta namba nyingine, wakampigia Mwaipopo na kujitambulisha kwa majina mengine, wakamwambia wanahitaji matibabu. Mwaipopo alivokilaza akajua hela hii hapa, akamwambia huyo dada atume hela ili atibiwe, yule Dada akamwambia aende Nairobi then baada ya matibabu atapewa hela yote anayotaka basi wakamkatia tiketi ya ndege then akaanza safari alivotua tu Uwanja wa Jomo Kenyatta akakamatwa na Polisi kisha akapelekwa kituo cha Polisi cha Shauri moyo. Akiwa kituo cha Polisi alituma ujumbe kwa Viongozi wa BAKWATA akiwajulisha kwamba amekamatwa Airport na Polisi wa Kenya wale wa ANT TERRORIST, akatuma ujumbe mwingine kwa Watanzania waliopo Oman ili wamchangie pesa ili aweze kuachiwa. Viongozi wa BAKWATA walituma wa 🇹🇿 Waislam waliopo Kenya ili waende kituo cha Polisi Shauri moyo, walipofika na kupewa file la kesi yake ndo wakagundua kwamba halihusiani na mambo ya UGAIDI kama alivosema Mwaipopo bali ni makosa ya Utapeli wa fedha wakati huo Watanzania (Waislam waishio Oman) walikuwa tayari washamtukia wakatoa hili tangazo mnaloliona hapo kwenye frame no.2 kuwataka watu wasiendelee kumchangia pesa. Mwisho wa siku, Polisi wa Kenya walikomaa nae mpaka aliliba pesa zote alizowatapeli Wadada watatu wa Kenya ndipo akaachiwa huru. Huyu Mwaipopo akiwa anaongea huko kwenye Mihadhara anasema kwamba yeye alikuwa Mchungaji sasa muulizeni alikuwa mchungaji wa Kanisa lipi? Hilo kanisa lipo wapi? Aonyeshe picha hata moja tu akiwa madhabahuni anahuburi? Halafu si anasema yeye ni Sheikh mwambieni asimame hadharani atusomee alhamdu kwa ufasaha kama kweli yeye ni Sheikh? Mwaka 2002 alienda Bujumbura Burundi, alifanya mihadhara ya kiislam badae alikutana na Mtanzania mwenzake akamwambia kuna Kanisa linamchungaji wa Kibongo hapo Bujumbura anasaidia sana Watanzania, Mwaipopo aliposikia tu kwamba jamaa anasaidia sana, akaona hiyo ni fursa akaenda kwenye hilo kanisa akaomba msaada wa pesa, baada ya kupewa msaada akasema ameamua kurudi kwenye ukristo, akabatizwa kwa mara nyingine. Waislam ambao walimpokea Bujumbura walipo pata taarifa walikasirika sana, walitaka kumtembezea kichapo maana waligundua ni mtu tapeli, Mwaipopo alikimbia Burundi na kurudi Tanzania, sasa kama akisema nasema uwongo mwambieni mimi niko tayari kumlipia Tiketi ya ndege ili aende Bujumbura, Burundi akafanye mihadhara.😂😂😂 Namba yake ya simu ni hii hapa +255 756 361 906

Hilda Newton

29,498 views • 3 months ago