正在加载视频...
视频加载失败
Sheikh Shams Elmi.
36,429 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Kwenye ulimwengu ambayo mtu kama Doto magari , mwijaku,baba levo,na akina mwaisa wanaonekana wa maana kuliko mkulima aliyevuna magunia 1000kule katavi, ulimwengu amabayo viongoz wa nchi wanajali wakata mauno kuliko wakulima au madktar au wabunifu , matrix imekaa kipuuz sana

I wish viongozi wote wa kidini wangekuwa na hekima ya Baba huyu. You can tell holiness is talking in him.

Bro, Inteligence is at risk in Tz. When ignorance becomes the norm in a society, intelligence is often mistaken for foolishness. In a country where the majority lack critical thinking, those who question, analyze, and innovate may appear foolish—not because they are wrong.

Hii Ni Kweli Na Inawezekana Kwa Jamii Ya Watu Wapuuzi Jamii Ikiwa Ni Ya Watu Wapuuzi Basi Kila Mpuuzi Ataonekana Ni Mtu Wa Maana Maana Yake Ikiwa Wapuuzi Ndiyo Wanaonekana Ni Watu Wa Maana Basi Jamii Hiyo Ni Ya Watu Wapuuzi

Katika Jamii Ya Watu Waerevu Haiwezekani Kwa Mtu Mpuuzi Kuwa Ni Mtu Wa Maana Katika Jamii Hiyo Mpuuzi Katika Jamii Ya Watu Waerevu Atabaki Kuwa Ni Mtu Mpuuzi Tu

Watu wapuuzi wanapendwa na watawala

Mwijaku na Baba Levo

Doto magari ni wamaana kwa sasa kuliko huyuu

NI A WORLWIDE PROBLEM, I BELIEVE WANAOMUABUDU SHETANI (WATU HAWA WAPO{JEWS,ILLUMINATI})NDIO WANAOWEZESHA HII "DEGENERACY"-(KUWEZESHA UHARIBIFU WA UWEZO WA KUFIKIRI,NGUVU ZA MWILI NA MAADILI KWA KUWEZESHA NA KUHIMIZA UJINGA,USHOGA,USAGAJI,NGONO,VITA,UPOTOSHAJI). NI MPANGO KAZI

Hyu sheikh Nampendaga sana kuna siku nilimsikiliza akishusha nondo pale chuo cha Mu morogoro🫡

