Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Shetani kaiba hii dhahabu👨🏻‍🦰

45,185 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля georgelegend
georgelegend1 год назад

Waliokulia kwemye dini wakiasi wanaasi kikweli kweli

Фото профиля Chico inteligente
Chico inteligente1 год назад

Daaah sijui alipatwa na nini? Mungu amsaidie arudi katika hali nzuri

Фото профиля ⓢⓗⓘⓢⓗⓘⓡⓐ ⓙⓡ
ⓢⓗⓘⓢⓗⓘⓡⓐ ⓙⓡ1 год назад

Daah, kuna sehem akakitema kidogo na kuendelea...sema nini, shetani ndo anataka kuharibu dizaini ya hawa watu

Фото профиля Millimeter ®
Millimeter ®1 год назад

Hii ndo kasumba ya walokole wakidhani kila mvuta bangi ni washetani, anayevuta sigara wa shetani, anayekunywa pombe ni wa shetani, anayekula mirungi ni wa shetani. Mahusiano ya mtu na Mungu yanabaki kuwa yao wawili na si kwa hisia za watu wengine

Фото профиля mzee gwara
mzee gwara1 год назад

Qur'an haitaki pombe wala bangi, ukichanganya Qur'an na hivyo vitu lazima upate ukichaa

Фото профиля ADAMS
ADAMS1 год назад

Rumbesa mfukoni😂😂😂

Фото профиля Noryman Kikala
Noryman Kikala1 год назад

Vyakula havimtenganishi mtu na dini yake wala hakuna shetani hapo

Фото профиля Abdullah 👑
Abdullah 👑1 год назад

More than pain

Фото профиля CAPTAIN
CAPTAIN1 год назад

Daahh...!!

Фото профиля Chuk_dior
Chuk_dior1 год назад

Dhahabu Ujinga😆

Похожие видео