正在加载视频...

视频加载失败

Shuhuda Wa Ajali

23,109 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

12 条评论

Mangi Wa Kichagga 的头像
Mangi Wa Kichagga1 年前

EKU Ilikua Na Wiki Moja Tu Barabarani Leo Hapa Moshi "Esther Luxury" Ameimaliza Pamoja Na Watu Wote Watatu Waliokua Ndani Yake😒

jasusi2020 的头像
jasusi20201 年前

Madereva wa mabasi huwa ni mafala sana pale wanapo overtake. Huwa sijui wanajiona nani na magari yao hayo yakiwa speed stability pale inapotokea risk huwa ni ndogo sana kutokana na muundo wake. Main reason wanashindwa kabisa kutimia vyema uwiano wa uzito kwenye boot za mizigo

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

take the journey

Akwii_ Ze_ Maasai 的头像
Akwii_ Ze_ Maasai1 年前

Mbona hiyo rav4 nyuma haijaumia?

Mangi Wa Kichagga 的头像
Mangi Wa Kichagga1 年前

Angalia Iyo Spair Tairi Ina mchubuko kwa Pembeni

Casa. 的头像
Casa.1 年前

Kwa maelezo ya shuhuda inaonyesha makosa au papara za mwingine barabarani zinagharimu maisha ya wengine. Daaah!!!

Vituko vya Chepe 的头像
Vituko vya Chepe1 年前

Hawa madereva wa mabus huwa wakiona gar ndogo barabarani wanaona ni haki yao kupishwa hata kama wapo upande ambao siyo sahihi.

mkapa 的头像
mkapa1 年前

Duh kwhy sababu ni kidia one Ndo kamuuzia msala mwenzie

Mangi Wa Kichagga 的头像
Mangi Wa Kichagga1 年前

Ndio

FAZA HOUSE 的头像
FAZA HOUSE1 年前

Daaah madereva mabasi inatakiwa wakisababisha ajali wapigwe sana Maana ndo wanaosababisha ajali kila leo

Florian Samwel 的头像
Florian Samwel1 年前

Wewe shududa mwongo hiyo Rava 4 mbona spare tairi haijaguswa hapo iko sawa tu

Mnama 的头像
Mnama1 年前

Kwa iyo kichwa kaondoka nacho

相关视频