Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Si mchezo! Mashallah Shabiby🙌🏾🙌🏾
185,778 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Katika kujenga heshima...

Ukipishana na gari zimeongozana hivyo hadi Mwili unasisimka unajikuta unafurahi utadhani ni zako

huwa sipendi kufuatilia mambo ya watu, but I had to count them. Hongera sana kwa Shabiby. Mashallah

Chuma 21 nimehesabu! Naingia kwa transport hata kama nimechelewa maana mkurugenzi alianza kumiliki bus kabla hajagonga twenty years! Am going in.

KARIBU sana Dada Carol kwenye Unazi wa Kupiga picha Mabasi tunakukaribisha kwa Mikono Miwili 🤝🤝

Utasikia reli itakamilika mwaka 2025 Dar dodoma

Ndio Mpya zimeingia?! Au zinatoka wapi zinaenda wapi?!

Ndio zimeingia rafiki yangu mpya piruuu

BM na ABC wanaweza wakahamisha route ya dodoma shabiby ana hasira sana na biashara.

Yani hapo hata akisema aniuzie kila basi 50k sitoboi🥹….
Похожие видео
Sensitive content
This sister is spitting🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
justasistertryingtotweet
122,186 просмотров • 1 год назад
Sensitive content
Warrick Dunn doesn’t get the flowers that he deserves🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
justasistertryingtotweet
143,085 просмотров • 11 месяцев назад
Sensitive content
Winky D afunga Kuvhura hombe🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 No one is ready for what's coming.
Second Republic 🇿🇼
51,593 просмотров • 9 месяцев назад
