ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

Si mchezo! Mashallah Shabiby๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

185,778 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 3 ๅนดๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

10 ๆก่ฏ„่ฎบ

Denice Tumaini ็š„ๅคดๅƒ
Denice Tumaini3 ๅนดๅ‰

Katika kujenga heshima...

Nyoka wa Kijani ็š„ๅคดๅƒ
Nyoka wa Kijani3 ๅนดๅ‰

Ukipishana na gari zimeongozana hivyo hadi Mwili unasisimka unajikuta unafurahi utadhani ni zako

Dr Msemo (MD, MMED) ็š„ๅคดๅƒ
Dr Msemo (MD, MMED)3 ๅนดๅ‰

huwa sipendi kufuatilia mambo ya watu, but I had to count them. Hongera sana kwa Shabiby. Mashallah

Smart and blessed. ็š„ๅคดๅƒ
Smart and blessed.3 ๅนดๅ‰

Chuma 21 nimehesabu! Naingia kwa transport hata kama nimechelewa maana mkurugenzi alianza kumiliki bus kabla hajagonga twenty years! Am going in.

PREMIER LINE EXPRESS ๐ŸšŒ๐ŸšŒ ็š„ๅคดๅƒ
PREMIER LINE EXPRESS ๐ŸšŒ๐ŸšŒ3 ๅนดๅ‰

KARIBU sana Dada Carol kwenye Unazi wa Kupiga picha Mabasi tunakukaribisha kwa Mikono Miwili ๐Ÿค๐Ÿค

Minja Jr ็š„ๅคดๅƒ
Minja Jr3 ๅนดๅ‰

Utasikia reli itakamilika mwaka 2025 Dar dodoma

YARDIEโ€™ ็š„ๅคดๅƒ
YARDIEโ€™3 ๅนดๅ‰

Ndio Mpya zimeingia?! Au zinatoka wapi zinaenda wapi?!

Carol Ndosi ็š„ๅคดๅƒ
Carol Ndosi3 ๅนดๅ‰

Ndio zimeingia rafiki yangu mpya piruuu

Kayombo benjamin ( K.B ) โš–๏ธ ็š„ๅคดๅƒ
Kayombo benjamin ( K.B ) โš–๏ธ3 ๅนดๅ‰

BM na ABC wanaweza wakahamisha route ya dodoma shabiby ana hasira sana na biashara.

riico ็š„ๅคดๅƒ
riico3 ๅนดๅ‰

Yani hapo hata akisema aniuzie kila basi 50k sitoboi๐Ÿฅนโ€ฆ.

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘