正在加载视频...

视频加载失败

Sijawahi hata kuongea..

35,263 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

12 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Katika kipindi cha Funguka Na Reytox , Huyu dada kasema katika maisha yake kuna vitu ambavyo ameshawahi kufanya na anashukuru mungu ametoka huko.. Ikiwemo ni kuwa Tom boy, Ambapo wanaume walimfanya vibaya kutokana na Tabia hiyo.. Msikilize... Video kwa Comments 👇

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Watu wanatapeliwa sana. Sasa leo @UoIlegalAid watakuwa na Space inayoelezea madhara ya Ponzi schemes Tanzania na watu wanavyoibiwa katika programu kama Kylanda na nyingine.. Usikose, Muda ni saa 2 usiku. Wafollow na weka reminder ya Space mwenye account yao.

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

wanna hear a new song?

M I D D L E 的头像
M I D D L E1 年前

Wanaume walifanya kutimiza majukumu yao yeye analia😂

CaeJay🇿🇦🎯 的头像
CaeJay🇿🇦🎯1 年前

Tommy Boy hata aweje hawezi kuwa Mwanaume hapo muwekeni sawa, ..... Alafu Nature tuuu Wanaume huwa hutuvutiwi na Mtu wa jinsia yoyote yule anayeisaliti Jinsia halisi yake ...

Mtimkavu 的头像
Mtimkavu1 年前

Huyu bado anasagana Kigamboni huku na kundi lake hilo la lesbians.

The One  的头像
The One 1 年前

Kwa kupitia maoni ya watu kwenye chapisho hili, utagundua kuwa kama jamii ya kitanzania tuna mengi ya kufanya/ kujifunza ili kuboresha maadili yetu. Kubakwa ni tendo kwa nguvu bila ridhaa lakini bado tunamjadili mtu kwa namna tumuonavyo leo.

makoba xy 的头像
makoba xy1 年前

Wakubake sawasawa... mama samia ndio atakusaidia

ANko𝕏 的头像
ANko𝕏1 年前

Mashetani na hao hao aliokutana nao baada ya kujifanya na yeye ni Shetani. Pumbav

Liungwana lenu 的头像
Liungwana lenu1 年前

Sijaelewa... alitolewa bikra yake mara yakwanza Afu akaja kutolewa tena bikra kwa kubaka.? So bikra huwa mnazo mbili nyie TOM BOYS..?

LAJU 🐐 的头像
LAJU 🐐1 年前

😂😂😂😂 eti bikra ya kwanza alafu tena bikra ya pili 😅😅 sema tu mara ya pili nilifilwa usilete habari za bikra mbili, bikra ipo moja tu 😂 huko kwengine ulitolewa malinda

Peter Subi 的头像
Peter Subi1 年前

ukijigeuza mwanaume ndo unashenyentwa mlango wa pili.

相关视频