ๆญฃๅจๅ ่ฝฝ่ง้ข...
่ง้ขๅ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ
Sijui hata nilitaka KUSEMA NINI๐๐
50,508 ๆฌก่ง็ โข 2 ๅนดๅ โขvia X (Twitter)
10 ๆก่ฏ่ฎบ

๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ ila tumefika kubaya sana! Janabi aanze sasa kuongelea vyakula vinavyosaidia afya ya akili

๐๐๐๐

Kadogo kake Zumaradi kanampanga mshkaji๐๐๐๐hizi mishe mm huwa nazidharau sana za kuanza kutupanga eti nimemwona Yesu sijui mungu kanituma.

๐๐๐

Ila haya yote ni kuchelewa kurudi kwa mwana wa mungu watu waneanza kufanya Yao ๐๐๐๐

๐๐๐

Sema huyu jamaa anaemuhoji kiboko sana, ningekuwa mimi hapo ningesahaangua kicheko cha hatari ๐๐๐๐

Konyagi mwitu sio nzuri!

Kwahyo Nyerere amekuwa malaika alivo fika mbinguni ๐ na Tanzania ni nchi yake Huyu mwanamke asaidiwe apate ajira aleee watoto wake tu maana ata changanyikiwa

Unakutana na MUNGU anakupa kazi ya kuikomboa TZ na ili umwamini ni MUNGU anamleta na Nyerere kama shaidi wa MUNGU ๐ Jamani content hapo ni m subscribe hii madea mpya au muipa views wakutosha.
็ธๅ ณ่ง้ข
Sensitive content
Mnajua nacheka nini? ๐๐๐
Author Sakwah Ongoma
423,908 ๆฌก่ง็ โข 2 ๅนดๅ
