Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Sikiliza hapa
Комментарии: 8

Banza Media1 год назад
Msanii Wa Kizazi kipya @lydia_bleck Ambae Aliwahi Kushiriki Kwenye BSS Na Kufika Kwenye Final Ameuanza Mwaka Vizuri Baada Ya Kuwa Kichwa cha Habari Kwenye media Nyingi Nchini Tanzania Kwa Video Yake Inayo Sambaa Ya Ubunifu Aliyo Utumia Kwenye Uimbaji Wake Alichukua Nyimbo Za Injili Na Za Bongo Fleva Na Kutowa Ngoma Na Story Nzuri Kwenye Beat Moja La Injili la @chistinashusho Video 👇

Banza Media1 год назад
UNA MUPA ASILIMIA NGAPI USIACHE KUTU FOLLOW

Banza Media1 год назад
View this post

Banza Media1 год назад
View this post

Bw. James1 год назад
@StreamviDL

Edward Samson1 год назад
Hahahahahahahha hiyoo mbwembwe ya Bien ndo ameua

James Wenger1 год назад
@KavisheOswald Ni raia wa wapii

Neria Hagai1 год назад
Kwa hiyo wote mmesikiliza tu nyimbo hamjaona hiyo english lyric version hapo chin 🥲🥲
