SISI NDIO TUPO😎😂🤸♀️🤸♀️🤸♀️
@Eagleseye0229K followers
11,331 views
87 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Aduiwayanga
Hivi hapo kuitafuta si shughuli sana
2 likes

@Eagleseye02
Lazima uishi na jeck chumbani 😎😂
1 like

@Aduiwayanga
Aise waniue tu😁😁😁
2 likes

@Eagleseye02
Wa hivyo wako vizuri sana halafu upendo sasa😎
1 like

@Aduiwayanga
Key words *wapo vizuri* uzuri gani?
1 like

@iammartial97
Unfat bhn,mwili kama huu wa nn sasa
2 likes

@Eagleseye02
Anaenjoy mwenyewe 😎😂

@iammartial97
😂Anakwama sasa
1 like

@Eagleseye02
Ona sura yake jinsi alivyo na furaha 😎
1 like

@LongaZimale
Mama Mchungaji hebu nitafutie liujiuji kama hili, yaani hizi ngoma kama nimelogezewa vile.
1 like

@Eagleseye02
Staki dhambi ujue 🙌😂😂
1 like

@LongaZimale
Mama Mchungaji!, kwani kumiliki hizi ndinga kihalali nako dhambi?, nataka kumiliki hilo Fiat kihalali, yaani humo kuna kiyoyozi viiiieitee ikasome.
1 like

@Eagleseye02
Issue sio kumiliki shida ni hilo jina la uji uji😂
1 like

@LongaZimale
😂😂😂😂😂

@Amani37895399
😆 😂 😆
1 like

@EnockDaf4
Kama hanuki,,nafa.
1 like

@Eagleseye02
Hanuki bhana 😂

@EnockDaf4
Kama hanuki,bac mbele ime kufa ganzi.

@__carloscar001
Huyu hajawahi kuona maendeleo ya mguu wake huyu 😂😂😂
1 like

@KamigakikuMbise
Bora niuawe tu 🤣🤣
1 like

























