Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Sisi ndio YANGA. ☺️!!
48,739 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 32

Kama wewe ni yanga! Najuta kushabikia team moja na mnafiki kama wewe!

Yanga sio wanafiki kama wewe

Tumepokea rasmi

KMMQ usilete COVID na huku aloo

We Dalali usifute hii ,Tunataka tukupike kidogo

COVID-19 upoo??😎

Yanga hakuna wezi km nyie mnaokula mshahara ya bure kule bungeni nyie na ma CCM ni sawa na samaki na Maji majizi wakubwa nyie sikujua mtu km ww unaweza kuuzika kirahisi vile aisee mpk siku ile unamwekee ndungai maiki aiseee hv mlijua yule katili ataishi milele yeee

Mh mdee Hunaaa baya Kipenzi chawatu Dada mpambanaji Sauti ya dhaabu Sauti ya kutetea Uma @AseliSamwel 😂🙏

Sawa covid19 kumbe upo boss wa covid19

Yanga wanatafuna Kodi zetu Bure kama wewe unavyotafuna huko bungeni,,!!

Matokeo kamili

Naaam

@amo_cluff Sisi Ni Yangaaaaaaaaaa

Kuna Kiongozi Wako Anapita Kwa Kukushambulia Eti Toka Uolewe Na Mnajeria Umekwisha Nyang'anyag"a Kisiasa 😂😂😂

Kulowa tena 🙊🙌🏾

Naam!!!

Mwenyekiti

Nynyi ndio ccm sema wee

Tp Mazembe ya Mchongo

💚💚💚💛💛💛

Najua wewe ni CCM DAMU DAMU , ILA UNABABAISHWA NA HILO GENGE LA WAHUNI KEEP MOVING

Hesabu Iko hivi mpaka Sasa YANGA ana point 4 na TP MAZEMBE ana point 3 hapo mkienda Lubumbashi Kwa MAZEMBE hamtoboi, Monastri wakija bongo wanawakanda, mwishowe mnayaaga mashindano....hifadhi Reply yangu hii

Yaani Halima na ujanja wote huo, we utopolo?

Mbunge feki..

Naumizwa na like na tweet za Wadau wako Kwa hadhi yako.Hapa ndio michezo,Je siasa itakuwaje?

Hadi wewe yanga? Duh!

Covid kumbe bado upo

Kumbe nawewe ni....... ndomaana nakupenda sana skujua kwanini sasa nimeanza kuelewa; Mungu akubariki sana kamanda mpambania haki ya Watanzania:

Dada yetu upo

Yuda

Sawaa mechi bado zinaendelea

Yaani mbaka rahaaaa
