正在加载视频...
视频加载失败
Sitacheka peke yangu 😃
129,132 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

BROWN 🟤1 年前
Hao samaki walishanaza kufufuka,hayo Maji🤣🤣🤣

Solar Heavy1 年前
take the journey

Jim Mpole1 年前
😂😂😂😂😂wait..ni chumvi aliweka mingi ama alitaka samaki wafufuke

Binti wa Mkulima1 年前
Kwanza mchuzi ulikua unasema "hiyo mboka hadi kesho"gafla bin vuu,leo tu yenyewe haujaliwa

Ismail1 年前
Mboga ya mchana na jioni iyoo

Novic1 年前
Mamaaee jamaa alizidisha nae

lusajodanny🐐1 年前
Mchuzi mwingi

Duke Sam1 年前
Hii ya kutengeneza lakn?

leon1 年前
Samaki walishaanza kuogelea

jitu la kale1 年前
Nakapika kenyewe

claman1 年前
Scripted
