Loading video...
Video Failed to Load
Soon ataanza kuomba michango ya dialysis.
220,046 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Mbona kama hii inamuhusu pia yule jamaa wetu😅😀

See the data: PD could be a better approach for unplanned, new-to-dialysis patients compared to in-center hemodialysis. // #PeritonealDialysis #QualityofLife #Hemodialysis

Vijana tuepuke Ulevi kupita kiasi, na anasa zisizo na faida zinaweza kukuharibia maisha.

Hizi Pombe Zinawaharibu Sana Bodaboda Wanaziweka Mfukoni Wanakunywa Kama Maji. Tulishuhudia Pombe Za Kwenye Vikaratasi (VIROBA) Zilivyomaliza Vijana Wengi Kabla Hazijapigwa Marufuku. Sasa Vijana Wamehamia Kwenye SMARTGINE, DOUBLE KICK, SUNGURA, Akiwa Na Buku Mbili Analewa Chakari

Umeona hii

Youth on crisis shda ni pale ndugu watakapo uza mali kwa ajili ya ini zake kufa hyo pombe kali ina kmblia kuchoma ini faster.. umaskini auwezi isha upo na kagari kako umenunua una kuta ndgu kama hyu yupo hospital michango ina pgshwa arafu ww una sengenywa uuze gari kumsaidia

Hapo mama yake alijitahidi asinywe pombe yoyote miezi 9,Saa hizo fadhila anazolipwa ndiyo hizo😂

Sikuhizi kila kitu kimegeuka content.🚮

Mwenyewe anajiona mjanja mpe miaka 3 mbele aendelee kwa style hii halafu aje kutupa matokeo yake

Mikocheni A miaka ya nyuma sana kipindi nasoma, Bar ya Stand Chama pale ndio imefunguliwa tulizika raia 2 kwenye mashindano ya kunywa Value.

Picha linaanza amezeeka tayari.

