正在加载视频...
视频加载失败
Speed ya Ngiri mkia juu ndio hii
29,499 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

@MdemuPolycarp Hawa huwa hawazii mafuta kabisa yeye ni kukanyaga TU! Bongo Dereva anawaza kuiba mafuta huwezi Kuta anakanyaga hivyo lazma aegeshe Mguu ili akatoe kidumu akikutana na Mlima anajilaumu sana coz hapo inamlazim akanyage kweli kweli.

@MdemuPolycarp Oya tuekeane dabo rod tu kwa main road zote zinazo toa mkoa kwa mkoa.ili biashara ziende jaman.rahaa mzigo umefika na dere na chombo wako salama kwa wakat

@MdemuPolycarp Na hii barabara umenyooka kama ile ya Tinde mpaka Nyakanazi

@MdemuPolycarp Duh hii balaa

@MdemuPolycarp Kun jamaa wanaitw time keeper logistics weee balaaa

@MdemuPolycarp Left hand road au?

@MdemuPolycarp Hi lami sio ya Bongo

@MdemuPolycarp Kama sao hill mufindi

@MdemuPolycarp hatari na Nusu Wanatembea wajuba

@MdemuPolycarp Some time ⏲️ transport ile efficiency inahitaj ontime delivery
