Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Spinning machinery
15,376 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
9 Kommentare

Nyamandenge Magufulivor 1 Jahr
lissu asingethubutu ikiwa aliyepokea fedha ni mkatoliki mwenzake, hapa machame they will retaliate

Tatu Abraham Manyilizu (PhD)vor 1 Jahr
@NellyNyamandege Dini ni upuuzi mwafirika aliletewa uwafarakanishe na hii ndiyo anguko la chadema. Lissu amegusa meza yenye vinywaji pendwa.

Gwiji La Kijiji 🇹🇿vor 1 Jahr
vita hivi havina mwisho mzuri ndani ya chadema.

mastermindvor 1 Jahr
@Sirajitz1 Aibu

Miss Rose 🌹👑vor 1 Jahr
Chadema inakwenda kugawanyika

mchuzi mixvor 1 Jahr
Nimeamini Lissu ni chizi anaweza kumshambulia kila mtu bila kupima consequence ya maneno yake. acha wagawane fito.

Godfather fanvor 1 Jahr
Chadema kwisha habari yao.

Me_lovevor 1 Jahr
@Mastaa01 Kwishaaaaa kwishaaaaa

BABA AIKA✍️vor 1 Jahr
Hawa nao tayari
